Tundu Lissu ni mshindi

Unamlaumu kuwadi wakati huo huo nawe ni kuwadi
 
Hapa naona ni kama umelipwa kumsifia mtu. Elewa jambo moja, "SHUJAA HATANGAZWI WALA KUJITANGAZA USHUJAA WAKE, ANAONEKANA KUWA NI SHUJAA KATIKA JICHO LA WANAOMPENDA NA MAADUI.

Sasa mimi huwa sionagi ushujaa wa tundulissu na pia simchukii kama mwanasiasa au hata kama mtu binafsi. Ila huwa nastaajabishwa sana na hii story ya ushujaa anayopews kupitia majanga yaliyomkuta ambayo majanga yenyewe yamekaa kimasihara sana.
 
Acheni Mungu aitwe Mungu, jamaa kaondoka bila maombi kama alivyotaka mwenzake aondoke bila maombi. Tutendeane mema wandugu
 
Kumbe huku kufurahia ni kuonesha tu kuwa na wao hufa basi mie nilijua huku kufurahia mtu kufa ni ushindi kwa wengine,ndio nikawa nashangaa unafurahia vp wakati hata huyo aliyekufa pia alijua nae ipo siku atakufa tu japo hakujua lini kama ilivyo kwa anayefurahia nae hajui atakufa lini lazima atakufa.
 
Yule pepo Beelzebub kishakufa.
Tuliposema kuwa asipotubia ile dhambi ya Kaini hadharani hakika atakufa mlidhani utani.
Hatuna Watanzania wenye roho chafu kiasi kile
Wamekufa mitume wa Mungu ila Shetani yupo hadi leo,tafakari hapo.
 
Muongo mkubwa wewe. Ni wapi Lissu kasema anafirahia kifo cha Maghufuli ?!. Leta clip au nukuu chanzo chochote cha habari .

Hata hivyo marehemu na system yake hawakuwahi kuona ubinaadamu kwa Lissu .
 
Lisu mnamfannishia mifano ya yesu wa agano lililoandikwa na mungu kutukuza utakatifu wake!?? [emoji15]
 
Njaa mbaya sana ipo siku utajutia ulichokiandika.Chadema watu wa hivyo kabisa haitatokea tena mkaainika kwa watanzania kwa kuwa tumeshajua na kuthibitisha pasiposhaka kwamba nyie ni vibaraka wa mabeberu na mafisadi .
 
Muongo mkubwa wewe. Ni wapi Lissu kasema anafirahia kifo cha Maghufuli ?!. Leta clip au nukuu chanzo chochote cha habari .

Hata hivyo marehemu na system yake hawakuwahi kuona ubinaadamu kwa Lissu .
soma article yake kwenye marvec
 
Kwenye point namba mbili (2) ,umedai Tundu Lissu hatangazwi na 'media ' kubwa, ni Media zipi unazozungumzia mkuu?
Nakumbuka anapewa airtime Sana na vyombo kama BBC na Washirika wake
 
Mmoja ameisha vunjika shingo tayari na hatunae tena.. CCM wanadhania wanaweza kushindana na Mungu Halaf wakashinda.. ngoja tuone mwisho wake!
 
 
Kifo ni dhambi. Mauti ni matokeo ya dhambi. Mungu huondoa haraka watu waovu hapa duniani.

Lissu rudi nyumbani waovu wanapukutika kwa mkono wa Mungu kupitia covid 19

Ni Mungu huyo huyo aliyesema magugu yaachwe yakue pamoja na ngano, atatenganisha mwenyewe mbele ya safari

Hivi mtoto mdogo akifariki ni kwamba anakuwa ametenda dhambi?

Mi nakupinga,
Kifo hakimaanishi kwamba umetenda dhambi.
 
kaunagana naye huo nabii uchwara ubelgiji.........................
Kwani unafikiri Mama ana roho ya kishetani kama yako hiyo ?!. Ndiyo maana wengine walitishwa, lakini yeye alimtembelea hospital Nairobi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…