hii balaa sasa,mbona watakufa kwa presha hawa ccm/act?
Salum yupo songea,msigwa iringa, lissu mafia,mnyika mara.
Wenyeviti wa vijiji wanakamua huku na kule, bavicha wanachanja mbuga. Bawacha haooooooo. Kila kona ccm wanashambuliwa na wamepoteana kabisa. Nchi nzima mikutano inafanyika jioni na wsbh ni vikao na semina na mafunzo. Hii ndio chadema ni mipango iliyoenda shule