Bad news to the establishment.Nasikia anaingia na HardTalk....hapo sasa!
Ndio maana anaweka avatar ya Mbwa wao,ID ya jina lao 😂😂😂😂😂😂ati Barbarosa kwa nini asiweke hata Kawawa.Kumbe unawaogopa wazungu?
In God we Trust
He is making a come back that's goodYule mwana siasa nguri na mtu pekee aliyenusurika kupotezewa uhai wake na wabaya wake baada ya kupigwa risasi za kutosha amepona na sasa hivi yupo ktk studio za BBC nchini uingereza anaelezea kilicho mkuta. Mwenye macho na atazame View attachment 995391
In God we Trust
Acha UCHAWIMguu wa kulia bado una vyuma kwenye goti?