Tundu Lissu na wana-CHADEMA msicheze na Moto utawababua na mtaumiza wasio na hatia

Pitia post # 44 kwenye huu uzi. Huwa sikurupuki kuandika humu Mkuu. I do my homework.

Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali
Screenshot_20200728-083431.jpg
 
Umati wote wa maelfu hawakufanya fujo uwanja wa ndege kwanini wafanye kwenye msiba. Polisi ndio waletao fujo kila wakati.
 
Kwasababu wanajeshi wanabeba jeneza basi ndo useme msiba upo chini yao?

Msiba wa taifa huu. Taasisi ya urais ndo inahusika nao.
 
Wanachadema. Wote bara na visiwani najuwa zipo tetesi Kwa Siri na ustadi mkubwa mmepanga mambo ya kuudhi Kesho ktk siku ya mwisho kumuaga Mzee wetu pale Taifa.

Ila Mimi nawahusia kaeni mbali na siasa kwenye msiba huu umelikumba Taifa nawashauri Kwa upendo mkubwa Sana wekeni mbali na mipango yeyote kuharibu msiba na Kuwa siasa nawahakikishia mnaweza fanikiwa mkidhani mnamkomoa Mh Rais ila trust me mtalia wachache nakusaga Meno.

Ule msiba upo chini ya jeshi na jeshi halina siasa SASA kama mnataka kulia kimya kimya nahuyo mnae muita Rais wenu ambaye ajapita Basi kafanyeni siasa pale Taifa nawahakikishia Kati yenu wapo watalia Sana nakujuta ujinga wameufanya.

Mzee wangu Mbowe nakuomba Mzee wangu shaurianeni vizuri msipeleke siasa pale Taifa Bora mkae nyumban msiba upite Kwa Amani kuliko kufanya fyoooo pale uwanjani nakuhakikishia watakao husika watalia Sana. MTU akikusitai na kukaa kimya Basi na wewe jitambuwe usije ukanuka au nukishwa mayai viza.

Huu ni ujumbe wa tahadhari kwenu Wana chadema na upinzani. Nadhan I mmenielewa
Unawashwa Washwa wewe.
 
Acha kuandika mambo ya kipuuzi, hasa Taifa linapokuwa na shughuliki kubwa kama msiba huu wa kitaifa. Kama huna kitu cha maana cha kuandika kwa nini usikae kimya??
 
Wanachadema. Wote bara na visiwani najuwa zipo tetesi Kwa Siri na ustadi mkubwa mmepanga mambo ya kuudhi Kesho ktk siku ya mwisho kumuaga Mzee wetu pale Taifa.

Ila Mimi nawahusia kaeni mbali na siasa kwenye msiba huu umelikumba Taifa nawashauri Kwa upendo mkubwa Sana wekeni mbali na mipango yeyote kuharibu msiba na Kuwa siasa nawahakikishia mnaweza fanikiwa mkidhani mnamkomoa Mh Rais ila trust me mtalia wachache nakusaga Meno.

Ule msiba upo chini ya jeshi na jeshi halina siasa SASA kama mnataka kulia kimya kimya nahuyo mnae muita Rais wenu
Weambaye ajapita Basi kafanyeni siasa pale Taifa nawahakikishia Kati yenu wapo watalia Sana nakujuta ujinga wameufanya.

Mzee wangu Mbowe nakuomba Mzee wangu shaurianeni vizuri msipeleke siasa pale Taifa Bora mkae nyumban msiba upite Kwa Amani kuliko kufanya fyoooo pale uwanjani nakuhakikishia watakao husika watalia Sana. MTU akikusitai na kukaa kimya Basi na wewe jitambuwe usije ukanuka au nukishwa mayai viza.

Huu ni ujumbe wa tahadhari kwenu Wana chadema na upinzani. Nadhan I mmenielewa
We ndo umeleta siasa,
 
Mtoa mada hakuna kitu kama hicho. Msibani siyo mahali pa kupigana. Ni mahali pa kujikumbusha kwamba na sisi tuko safarini ni unfortunately tu kwamba sisi wanadamu hatuheshimiani wakati wote tutakwenda huko amabko hakuna aliyerudi baada ya kwenda huko. Chadema nao ni watu wenye akili kama wewe na hawawezi kufanya upuzi kama huo.
 
Back
Top Bottom