Nicholaus Kilunga
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 1,188
- 570
Makamanda nipo hapa mahakama ya wilaya ya Kibondo mkoa wa Kigoma ambapo kuna kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi jimbo la Buyungu ambapo aliyekuwa waziri(akatajwa na chama chake kwamba ni mzigo)CCM Clistopher Chiza alimfungulia kesi mh mbunge wa jimbo hilo mwal Bilago,
Watu ni wengi wengi sana na pia wanatoka pande zote,
Ikumbukwe kesi hii awali ilikuwa inasikilizwa mahakama kuu kanda ya Tabora na sasa imehamia rasmi wilaya ya Kibondo,
Ikumbukwe wakili wa mh Bilago ambaye pia ni mbunge pekee wa CDM mkoa wa Kigoma anatetewa na wakili msomi na machachali mh Tundu Lissu ambaye pia ni mbunge wa Singida Mashariki na wapo tayari mahakamani,
Bado mda kidogo kesi ianze na nitakuwa natoa mrejesho.
By Nicholaus Kilunga mwenyekitu CDM jimbo la Muhambwe(Nick Kilunga)