Tundu Lissu Kiboko ya CCM

Tundu Lissu Kiboko ya CCM

Mughwira

Senior Member
Joined
Jun 10, 2008
Posts
109
Reaction score
34
Kikao cha Kamati Kuu ya CCM imeshindwa kutengua kitendawili cha mtu mwenye sifa ya kusimama na Tundu Lissu Singida Mashariki. Mpaka sasa mgombea wa CCM hajafahamika.

Kusema Lissu anapita bila kupingwa?
 
Sasa kama ccm hawajui wa kumuweka huyo wema alosema atapambana nae anaanzaje
 
tundu ni mwiba kwa ccm mpaka sasa hawajui wafanye nini
 
Kwanza wangekuwa makini wasingemuwekea mshindani! Lissu anapaswa kupita bila kupingwa.
 
Washaamua kumuweka Bibi Wema Sepetu na amewezeshwa kila kitu si unajua Wanawake wakiwezeshwa wanaweza.
 
Kwa Tindulisu wamechemka yeyote watakaye mleta amepigwa tayari.
 
duh, huko mbele ccm inaona giza

ka namna hii, magufri atatoroka
 
vyama vingine navyo?

Back
Top Bottom