Tundu Lissu is a legend

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
22,729
Reaction score
34,830
Hasalaam aleku.

Nimeona nami nitie neno kidogo kwa mahitaji ya wakati.

Hapana sili ya kwamba Tundu Lissu is a legend. Tunaweza kukataa kwa sababu za uchawa na vitu kama vile. But in reality Lissu ni mtu hatari sana in a positive way

Thamani ya Tundu Lissu itaweza kuonekana baada ya miaka 50 mpaka 100 na kuendelea

Sitashangaa watu wakinipinga mimi am taking beer right now

Karibuni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…