Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 9,980
- 16,687
Hakika mkuu, bila kelele za lisu kuna mtu alishawekwa kati kwa nusu mkate.Huyu jamaa Tundu Antipas Lissu ukiweka uvyama pembeni ni Mtu Makini sana.
Pamoja na Changamoto zote alizopitia ndio amezidi kuwa mwiba kwa wezi na Mafisadi.
Atakae amini hii kauli yako atakua joined 29-8-2023.View attachment 2735299
Huyu jamaa Tundu Antipas Lissu ukiweka uvyama pembeni ni Mtu Makini sana.
Pamoja na Changamoto zote alizopitia ndio amezidi kuwa mwiba kwa wezi na Mafisadi.
Hakika Jasiri ni Jasiri na kamwe haachi Asili.
Jumaa Mubarak ππ
Tindu Lissu, 'tutashitakiwa MIGA tunyolewe na vipande vya chupa bila maji" nimwanisiasa aina ya mdudu kinyonga,hana msimamo anayumbayumba,by Dk Slaa.View attachment 2735299
Huyu jamaa Tundu Antipas Lissu ukiweka uvyama pembeni ni Mtu Makini sana.
Pamoja na Changamoto zote alizopitia ndio amezidi kuwa mwiba kwa wezi na Mafisadi.
Hakika Jasiri ni Jasiri na kamwe haachi Asili.
Jumaa Mubarak ππ
Badala yake kalambishwa yeye mchanga dadeqMungu endelea kumlinda Tundu Lissu....mwendazake alitaka kumwahisha ila Mungu akasema NO.
Je tumeshatakiwa hatujashitakiwa? Uliona Professor Muruma alivyogaragazwa au upo unajitekenya na kujicheka mwenyewe?Tindu Lissu, 'tutashitakiwa MIGA tunyolewe na vipande vya chupa bila maji" nimwanisiasa aina ya mdudu kinyonga,hana msimamo anayumbayumba,by Dk Slaa.
Kuna kitu unatutega!View attachment 2735299
Huyu jamaa Tundu Antipas Lissu ukiweka uvyama pembeni ni Mtu Makini sana.
Pamoja na Changamoto zote alizopitia ndio amezidi kuwa mwiba kwa wezi na Mafisadi.
Hakika Jasiri ni Jasiri na kamwe haachi Asili.
Jumaa Mubarak ππ
Kama tungekuwa ni Taifa ambalo serikali na taasisi zake zinachukua hatua kwa ufisadi unaotajwa na Lissu na wengine, hakika ingekuwa inaleta maana kwa Lissu kubaki upinzani na kulipua mabomu ya ufisadi.View attachment 2735299
Huyu jamaa Tundu Antipas Lissu ukiweka uvyama pembeni ni Mtu Makini sana.
Pamoja na Changamoto zote alizopitia ndio amezidi kuwa mwiba kwa wezi na Mafisadi.
Hakika Jasiri ni Jasiri na kamwe haachi Asili.
Jumaa Mubarak ππ
Lisu ni akili kubwa snWe mpaka Kishimba alienda kumsikiliza - si mchezo
Mwanasiasa /Mwanasheria gani mwoga kiasi hiki? inamaana hakipewa nchi anaweza kuacha madudu ya mikataba mibovu yanaendelea kutafuna taifa,kisa kuogopa kushitakiwa MIGA,sasa wanatafuta urais wanini kama wakipata alafu nchi ikaendelea kupoteza matrione ya pesaJe tumeshatakiwa hatujashitakiwa? Uliona Professor Muruma alivyogaragazwa au upo unajitekenya na kujicheka mwenyewe?
We jamaa !!! Tangu lini umeanza kumkubali Tundu lissu?View attachment 2735299
Huyu jamaa Tundu Antipas Lissu ukiweka uvyama pembeni ni Mtu Makini sana.
Pamoja na Changamoto zote alizopitia ndio amezidi kuwa mwiba kwa wezi na Mafisadi.
Hakika Jasiri ni Jasiri na kamwe haachi Asili.
Jumaa Mubarak ππ
jiwe aliona lisu atakiwi kuwa hai maana ni mwiba, baada ya kushindwa kumuua akaona bora afe yeye.
Uzuri wako, tofauti kabisa na yule mwingine aliyejitambulisha kuwa naye ni mtu wa CCM na huandika magazeti mengi na marefu sana humu JF; wewe ni mkweli wa nafsi yako, na hujifichi kwa nadhiri uliyolishwa na chama hicho kibovu.View attachment 2735299
Huyu jamaa Tundu Antipas Lissu ukiweka uvyama pembeni ni Mtu Makini sana.
Pamoja na Changamoto zote alizopitia ndio amezidi kuwa mwiba kwa wezi na Mafisadi.
Hakika Jasiri ni Jasiri na kamwe haachi Asili.
Jumaa Mubarak ππ
Na wewe Mkuu umeshakubali hilo basi watakuwepo wengi wengine kutoka kipande Hiyo wameshamkubali sana jamaa !!View attachment 2735299
Huyu jamaa Tundu Antipas Lissu ukiweka uvyama pembeni ni Mtu Makini sana.
Pamoja na Changamoto zote alizopitia ndio amezidi kuwa mwiba kwa wezi na Mafisadi.
Hakika Jasiri ni Jasiri na kamwe haachi Asili.
Jumaa Mubarak ππ
Na inashangaza sana kuwa IGP Cammilius Wambura na DCI wake Ramadhani Kingai, badala ya kumkamata Tundu Lissu kwa uhaini wa kujadili na kuuchambua mkataba wa bandari ktk namna ya kuudhi, kukera na kuivua nguo serikali na CCM na Rais wao Samia Suluhu Hassan, eti wanamkamata Mzee wa watu Dr Slaa na mtu kama Mdude Nyangali au Wakili Boniface Mwambukusi..!View attachment 2735299
Huyu jamaa Tundu Antipas Lissu ukiweka uvyama pembeni ni Mtu Makini sana.
Pamoja na Changamoto zote alizopitia ndio amezidi kuwa mwiba kwa wezi na Mafisadi.
Hakika Jasiri ni Jasiri na kamwe haachi Asili.
Jumaa Mubarak ππ
Not only that, viongozi wetu wanawaogopa sana hao wanaowaita wadau wa maendeleo.Nadhani wanashindwa kumfanya lolote kwa sababu jamaa ni kweli yuko very smart anapofanya mashambulizi yake..