Tundu Lissu atoa shilingi

Kwa kweli Samweli Sitta ni mzalendo wa kweli.kamshauri Tundu Lissu apeleke hoja binafsi bungeni kwenye mkutano ujao wa bunge kuhusu jeshi la police kutumiwa na viongozi wa ccm.Lisu kakubali na nampongeza sana mzee SITTA.

Hata kwenye uspika Sitta alifanya vizuri mpaka alipofurunda kwenye kuhitimisha hoka ya Richmond. Namuunga mkono kwa matamshi yake.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Wabunge wa CCM wamechangia kwa uchungu sana na hasira kali mno, yule mama aliyekuwa anasifia jeshi la polisi kwa kazi nzuri bila kuibanisha duh...
 
CDM wakitoa hoja ccm wanajibu kwa police kuja na mabomu na risasi za moto
 
Namkubali Lisu kwa hili na ataibuka mshindi kwa vyovyote vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…