Tundu Lissu: Afande Sirro na Kipilimba, Vijana wa Toyota Premio namba T460CQV Mliowatuma kunifuatilia nimewakaba

Chama cha wanasheria kwasasa kinavuliwa nguo na Lisu. Kwakuwa wanajua walikoseakumchagua mtu ambaye hawakuchunguza vizuri afya yake ya akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kichaa yeyote huwa anawaona watu wengine wote ni vichaa.hiyo ndio njia rahisi kujua kama akili yako ni nzima ama la.
endapo zaidi ya watu 600 walimuona ni mzima isipokuwa wewe basi wewe ni kichaa
 
Namuombea apone tuu maana naona yametimia sasa waliokuwa na shaka wajiridhishe hapa pia

mzee mzima haishiwi maneno
 


Heshima kwenu Wakuu,

Leo Tundu Lissu ametoa ya Moyoni kwamba anawindwa na kufuatiliwa na vyombo vya Usalama. Amewasihi Vyombo vya Usalama vipambane na Wahalifu sio Wanaoikosoa Serikali

"Naomba kabla sijaanza Mazungumzo yangu nimuombe Mkuu wa idara ya Usalama wa Taifa anaitwa Kipilimba au Inspekta Generali wa Polisi Simon Sirro, wale vijana ambao wamewatuma na kwa wiki tatu mfululizo wananifuata kila nilipo wanaotembea na gari ya Toyota premio namba T460CQV, jana niliwakaba Kanisani St. Peter's.

Wakubwa hawa wa Vyombo vyetu vya Usalama wawaelekeze watumishi wao watumie muda na rasilimali za nchi hii wafanye kazi ya kupambana na Waharifu sio kupoteza muda wao na pesa zetu kuhangaika na raia ambao wanatimiza wajibu wao wa kuiwajibisha Serikali iliyoko Madarakani.

Kwahiyo Afande Sirro na Afande Kipilimba, fanyeni kazi ya kupambana na Wahalifu na tuachieni kazi ya kuwaajibisha walioko Madarakani kwa mjibu wa Sheria za Tanzania".

Ndio hao Leo wamebadili gari Dodoma
 
Kwahiyo hizo namba za magari alizotupa ndio uthibitisho kuwa anafuatiliwa?? au kuwa hao watu ni wa huko anakosema wanatoka? Mwanasheria wa ajabu kabisa huyu. Halafu eti anataka Urais!!
Stroke vs Paralysis Leo unasemaje kuhusu yaliyotokea? Bado anakuwa wa ajabu? Chuki hupofusha, Chuki huleta uziwi
 
kuna kikosi ndani ya uhasama wa taifa kinajiita eagle hao ndio wahusika.. kama huamini subiri majibu ya Dola kwenye hili la kupigwa risasi kwa Lissu
 
Kwahiyo hizo namba za magari alizotupa ndio uthibitisho kuwa anafuatiliwa?? au kuwa hao watu ni wa huko anakosema wanatoka? Mwanasheria wa ajabu kabisa huyu. Halafu eti anataka Urais!!



Mkiambiwa nyie ni vilaza na mnaona umbali wa pua tu mnabishaga.
 
Kutumika vibaya kwa idara zetu za ulinzi kumewafanya kugeuka kuwa mazombi! Hivi unamfatilia mtu kama 'recon' vile na unatumia gari hiyo hiyo siku zote hizo?!
 
Back
Top Bottom