Tundu Lissu: Afande Sirro na Kipilimba, Vijana wa Toyota Premio namba T460CQV Mliowatuma kunifuatilia nimewakaba

TISS wakufatilie kishamba hadi uwakabe? Duh! ....labda polisi wa kawaida wala si hata CID ....au labda ni wale wanaojiita Fichua uovu wa Shingongo ....big time joke ...hahaha ...eti nikawakaba ....dah

Mkuu

Nadhani sasa umepata fursa ya kuacha kubishia kila kitu kama mimi nilivyoacha kupinga kila kitu kwa muda mrefu sasa.
 
Heshima kwenu Wakuu,

Leo Tundu Lissu ametoa ya Moyoni kwamba anawindwa na kufuatiliwa na vyombo vya Usalama. Amewasihi Vyombo vya Usalama vipambane na Wahalifu sio Wanaoikosoa Serikali

"Naomba kabla sijaanza Mazungumzo yangu nimuombe Mkuu wa idara ya Usalama wa Taifa anaitwa Kipilimba au Inspekta Generali wa Polisi Simon Sirro, wale vijana ambao wamewatuma na kwa wiki tatu mfululizo wananifuata kila nilipo wanaotembea na gari ya Toyota premio namba T460CQV, jana niliwakaba Kanisani St. Peter's.

Wakubwa hawa wa Vyombo vyetu vya Usalama wawaelekeze watumishi wao watumie muda na rasilimali za nchi hii wafanye kazi ya kupambana na Waharifu sio kupoteza muda wao na pesa zetu kuhangaika na raia ambao wanatimiza wajibu wao wa kuiwajibisha Serikali iliyoko Madarakani.

Kwahiyo Afande Sirro na Afande Kipilimba, fanyeni kazi ya kupambana na Wahalifu na tuachieni kazi ya kuwaajibisha walioko Madarakani kwa mjibu wa Sheria za Tanzania".

Acha kuwadharau. TZ. Wako vizuri sana. Ungesema umeanza Kumtilia mashaka mkeo tungesema hapo kweli. Lakini. usalama wa Taifa. Si wanabaka Tu mawasiliano yenu yote. Acha. Dharau.
 
Heshima kwenu Wakuu,

Leo Tundu Lissu ametoa ya Moyoni kwamba anawindwa na kufuatiliwa na vyombo vya Usalama. Amewasihi Vyombo vya Usalama vipambane na Wahalifu sio Wanaoikosoa Serikali

"Naomba kabla sijaanza Mazungumzo yangu nimuombe Mkuu wa idara ya Usalama wa Taifa anaitwa Kipilimba au Inspekta Generali wa Polisi Simon Sirro, wale vijana ambao wamewatuma na kwa wiki tatu mfululizo wananifuata kila nilipo wanaotembea na gari ya Toyota premio namba T460CQV, jana niliwakaba Kanisani St. Peter's.

Wakubwa hawa wa Vyombo vyetu vya Usalama wawaelekeze watumishi wao watumie muda na rasilimali za nchi hii wafanye kazi ya kupambana na Waharifu sio kupoteza muda wao na pesa zetu kuhangaika na raia ambao wanatimiza wajibu wao wa kuiwajibisha Serikali iliyoko Madarakani.

Kwahiyo Afande Sirro na Afande Kipilimba, fanyeni kazi ya kupambana na Wahalifu na tuachieni kazi ya kuwaajibisha walioko Madarakani kwa mjibu wa Sheria za Tanzania".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom