real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,296
Akijibu swali na mwandishi wa habari juu ya maoni yake kwa uteuzi wa Magufuli kwa wapinzani Lissu amesema ACT sio wapinzani, bali walianzishwa kkwa ajili ya kuuwa upinzani na sasa wanazawadiwa, Kitila Mkumbo na Anna Mghwira ni zawadi.
Amedai serikali hawajawi kuwa na shida na ACT bali shida yake kubwa ni Chadema na CUF na hao wengine ni CCM wakiwa wamevaa magwanda tofauti
Akijibu juu kuhusu kama akiteuliwa atafanyaje alijibu kitu hicho hakiwezi kutokea na wala hawezi kutumikia utawala wa kidikteta yeye ni mpinzani