Goku 255
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 451
- 872
Yaan alilotenda jamaa uganda limewachaa wanajamii vinywa wazi,baada ya kumkuta mkewe na mwanaume mwingine kitandani.
Jamaa alijawa na hasira akikumbuka anavyoimbania familia yake.Alafu dume lingine laja kula tunda kiurahisi,bila kuhudumia lolote. jamaa alichomoa beto na kumuendea mwanaume huyo kitandan.Bila kuongea na yeyote alimchomeza, jombie la watu beto za kutosha na kumsabishia maut
Saiv jombie hatupo na yeye tena,mke amekamatwa na polis kwa uchunguz zaid.mwamba kasepa ila polis wanaendelea na msako
Je we mwanaume mwenzangu,ukimkuta mkeo na mwanaume mwingine.Je utachukua maamuz gan?