Na wala sio Tunchel ni TUCHELMods rekebisheni heading ni TUNCHEL* NA SIO Tucel
Na wala sio TUCHEL ni TuchelNa wala sio Tunchel ni TUCHEL
Ni Olivier Khan na wala si neuerCaptain Manuel Neuer mbona ni mtu nanusu tu
Wanaotakiwa kwenye uongozi ni washambuliaji tu sio 😄Huyo golikipa alipataje nafasi ya kuwa kiongoz hapo bayern
Hawa buyern wameyakanyaga nakuambia ,Bora wasingefukuza kocha ...Nauhakika atawatoa city nje ndani yaani kama alishinda na Chelsea ndo ashindwe kuwafunga akiwa na Bayern? Tumekaa pale
Mkuu wew ni mmakonde Nini [emoji16]Mods rekebisheni heading ni TUCHEL* NA SIO Tuncel
Kwamba wameyakanyaga? Ngoja tuone ila kitu nauhakika nacho pale Alianza hamchomokiHawa buyern wameyakanyaga nakuambia ,Bora wasingefukuza kocha ...
Yaani huyo TT tushakuwa na hasira nae internally,ndio maana Toka atufunge final hajawahi kutufunga Tena ....na Chelsea tutaendelea kumpa kichapo cha mbwa Koko mpaka tutakapo chukua CL ndio cheslea ataweza kutufunga ....
Maana kila tukikutana na cheslea huwa tunakumbuka CL ...
Oliver Kahn!!! Ili uwe President wa Bayern lazima uwe na CV ya kuwa mchezaji wa zamani wa Bayern mwenye mafanikio enzi hizo.Huyo golikipa alipataje nafasi ya kuwa kiongoz hapo bayern