Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,285
- 33,882
- Thread starter
-
- #41
Yurri,Mzee wetu, Mohamed Said, kuna platform yeyote ilipo historia uliyoandika (documents, audio or visual) inayohusu Palestine na mzozo wake Middle East?
Mimi natamani kujifunza, kama naweza kupata darasa lako nitashukuru,
NB: Mimi ni mwanafunzi wako kwenye jukwaa hili,Asante!
Shekue alirudi kugombea ubunge tanga mjini kupitia CCM mwaka 2020 kura hazikutosha amestaafu akiwa katibu wa CCM wilaya huko manyara.Prof. Ibrahim Lipumba ni msomi wa kutajika katika kundi kubwa lolote la wasomi popote pale duniani.
Prof. Lipumba aliingia katika siasa mwaka wa 1995 si kwa mapenzi yake bali kwa kuchagizwa na marafiki zake kufuatia kifo cha ghafla cha Prof. Kighoma Malima.
Mwaka wa 1995 aligombea urais kwa tiketi ya CUF na kuanzia hapo aliweza kuijenga CUF kufikia kuwa chama chenye nguvu.
Lakini kubwa katika historia ya vyama vya siasa Tanzania ni kule CUF Bara kwa wakati ule kutia nguvu kubwa katika siasa za visiwani na kuifanya CUF chama pekee katika vyama vya upinzani ukiondoa CCM, chenye wafuasi wengi Tanzania Visiwani na Tanzania Bara.
Hakuna chama chochote Bara ambacho kimeweza kutimiza hili.
Katika haya yote mchango wa Prof. Lipumba ulikuwa mkubwa sana usio na kifani.
(Mohamed Said Historia, Siasa na Maendeleo Tanzania August 22, 2016 0)
View attachment 2891363
Prof. Lipumba wa kwanza kushoto, Shekue Pashua na wanachama wa CUF nyumbani kwa Mama Ummi bint Anzuani (aliyevaa nguo nyekundu) Tanga 1995
Sir...Shekue alirudi kugombea ubunge tanga mjini kupitia CCM mwaka 2020 kura hazikutosha amestaafu akiwa katibu wa CCM wilaya huko manyara.
Natamani kujuwa historia ya sheikh Ali said Basaleh hata kwa ufupi.Sir...
Ahsante.
Namkumbuka alitupokea Tanga mwaka wa 1995.
A. Sykes hakua mdini, bali purely nationalistic. Ukisoma hiki kitabu kina taswira mbili;kwanza ni maisha ya kihistoria yake [account ya Historia ya Tanzania]-na ndio ubora wa hiki kitabu ulipo, na pili ni tafsiri ya Mwandishi Juu ya Historia hiyo ya A. Sykes[his thesis ya Uislam na Uhuru wa Tanganyika]-ambayo to me, ni flawed view. So, kama unapenda kuijua historia yetu, its a must-read, but with open mind.Kama Sykes ameandika kwa msingi ya utaifa naweza shawishika kusoma, lakini kama ameandika kwa malalamiko ya Waislam kubaguliwa na utawala wa Nyerere kwasababu ya ukristo wake, utaniwia radhi.
Kuna andiko mzee Said ulilokuwa ukilalamikia serikali ya Nyerere kuwanyima ruhusa mashirika ya Kiislam ikiwemo OIC kujenga vyuo vikuu, kama kweli ilikuwa hivyo. Ninaelewa sasa ni kwanini Nyerere aliona mbali na kufanya hivyo. Na ndiyo maana hata Shule na Hospital zizokuwa zikimilikiwa na kuendeshwa na madhehebu ya kikristo alizitaifisha.
that...A. Sykes hakua mdini, bali purely nationalistic. Ukisoma hiki kitabu kina taswira mbili;kwanza ni maisha ya kihistoria yake [account ya Historia ya Tanzania]-na ndio ubora wa hiki kitabu ulipo, na pili ni tafsiri ya Mwandishi Juu ya Historia hiyo ya A. Sykes[his thesis ya Uislam na Uhuru wa Tanganyika]-ambayo to me, ni flawed view. So, kama unapenda kuijua historia yetu, its a must-read, but with open mind.
Yaani hapa tayari umeshawakilisha jina lako yaani MbuziCover photo ya hicho kitabu inapalilia chuki na kama sikosehi kinachoongelewa hapa ni mauaji yaliyotokana na fujo za Mwembechai - Magomeni. Ni bahati nzuri niseme huu ulikuwa ni utawala wa Mwinyi.
Bali...Historia ni taaluma ,historia ni sayansi.Historia siyo masimulizi lazima ufanye utafiti ili uandike historia.
Huyu ni moja kati ya wazee wa hovyo kabisa kuwahi kutokea, n8 mdini,mchochezi na mbaguzi mkubwa.Mohamed, unajisikiaje kupost vitu vyenye uelekeo wa kupalilia chuki kwa misingi ya imani za kidini? Hayo mauaji unayoyafanyia reference, unatuletea hizo picha mulizogawiana na Lipumba gesti ili iweje? Nijuwavyo Lipumba ni kiongozi wa chama cha siasa kumbe uchochoroni ni gaidi anaejaribu kueneza chuki za kidini, siyo? Too low for a Prof. to behave such way.
Kwenye post yako moja ya Rais kupewa mwaliko Vatican unahusisha mwaliko huo na maswala ya bandari na mikataba ya DPW, na umejaribu kujitungia na kueleza vitu vya hovyo kabisa. Hivi wewe ukoje? Unadhani huko Vatican wana shida na hizi bandari zenu? TEC ni Baraza la maaskofu hapa Tanzania, si Baraza la Vatican na Chadema ni chama cha siasa hakina uhusiano ama na Ukatoliki au dini yoyote, iweje uwafungamanishe hata kama hoja zao zilikuwa za aina moja kwenye kupinga mkataba wa hovyo ambao serikali ilitaka kuingia na hiyo kampuni.
Wewe huna lingine unaloweza kuandika,au wewe ni mwandishi wa waislamu?Mbussi,
Sina msimamo wowote dhidi ya dini yeyote.
Wala hakuna ushahidi popote kuwa Uislam ulipata kupanga njama dhidi ya dini nyingine.
Soma kitabu cha Abdul Sykes uone historia ya Waislam katika kujenga umoja.
Tazama picha hizo hapo chini:
Yve...Wewe huna lingine unaloweza kuandika,au wewe ni mwandishi wa waislamu?
Yve...Huyu ni moja kati ya wazee wa hovyo kabisa kuwahi kutokea, n8 mdini,mchochezi na mbaguzi mkubwa.