Tunawashukuru mashujaa wa Demokrasia

Wote waliotekwa, kuuwawa, kufunguliwa kesi fake etc na watu wote walioandamana na kuendelea kuandamana kupinga dhalimu Samia na genge lake, tusisahau waliokataa kupiga kura na waliokuwa wanavujisha na kutoa siri za huyu mwendawazimu Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…