Tunawachezea... Au Tunachezeana...?

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,832
Asilimia Kubwa Katika Mahusiano , Pindi Mwanaume Anapoamua Kuvunja Mahusiano, Wanawake Huwa Wanalaumu Sana....Kuwa Wamechezewa!

Hizi kauli Hutolewa Hasa Kama Mtakuwa Mshawahi Kusex

Je, Inamaana Wanawake Sex Kwao Imekuwa Ni Tego Kubwa La kumfunga mwanaume Katika Mahusiano Na Si Kitu Kingine?

Maana Nijuavyo penzi Hukamilika kwa Vitu Vingi Mbali Na Kusex!
 
Mie naona anayechezewa ni yule aliyepigwa kibuti bila kujali ni mwanaume au mwanamke!! Maana shida ni kwa wote na ni zilezile kama moyo kuuma, kupotezeana muda, mwisho wa siku anakujua in and out!!!

Sema wanawake ni watu wa kupoozea maumivu mdomoni kwa kuongea sana ila wanaume wanayauguza moyoni thus why hilo neno likaonekana la jinsia moja
 
kuchezewa ni kupotezewa muda.....

kama ulikuwa/mlikuwa katika mahusiano bila malengo yoyote ya kuwekana ndani, huo ndio kupotezeana muda.
 
Hahahahahaaa bas tunachezeana aiseee
 
sasa nashangaa mi nimemwacha huyu girl, anaanza kulalama eti nimemchezea, wakati nae kanilitumia dudu langu!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…