Madam secretary
Member
- Mar 6, 2015
- 70
- 221
Ukikubali kuzakishwa kabla ya ndoa. Wewe ni?..??? Wahuni.watajibu hii. Usituite wajaa laana ikiwa mnatuuzia uchi. Wajaa laana ni nyie mnaouza. Hauwezi kuibadilisha dunia ikiwa hujajibadilisha wewe kwanza. Toa kasoro zako ndio umkosoe mwingine, acha kudanga acha kugawa papa km njugu afu tulia jitambue kama hutaheshimiwa.Asubuhi nilileta Uzi hapa, bout encouraging single mothers,, kwamba one day Mungu atawalipia fedheha zote walizopitia.
Baadhi ya wanaume walaaniwa wamekuja juu sana... But ukweli haukwepeki na ukweli hauzikwi milele utatafuta tu njia.
Kabla sijawapa vidonge vyao hawa walaaniwa let me tell you this.
Umemtaja Mungu afu unawashauri masingle maza wagawe ngono ila sio kwa kila mwanamme huoni unasapoti uzinzi ambao hata Mungu anaupiga vita?Asubuhi nilileta Uzi hapa, bout encouraging single mothers,, kwamba one day Mungu atawalipia fedheha zote walizopitia.
Baadhi ya wanaume walaaniwa wamekuja juu sana... But ukweli haukwepeki na ukweli hauzikwi milele utatafuta tu njia.
Kab
Waambie waambieUmemtaja Mungu afu unawashauri masingle maza wagawe ngono ila sio kwa kila mwanamme huoni unasapoti uzinzi ambao hata Mungu anaupiga vita?
Masingle maza wataendelea kuwepo as long as dunia ipo cos kuna masingle maza wa kujitengeneza na wa kutengenezwa na wote mwisho wa siku watasimama mbele za Mungu kuhukumiwa sawasawa na matendo yao so uwashauri hata wapambane kurudiana na waume zao sio wapambane kuachana zaidi maana huko watazini tu na Mungu atawachoma kwa moto siku ile ya hukumu .
Mkikwazwa kidogo tu mnakimbilia kupambana kuwa sawa na wanaume ili muwaoneshe kumbe mnaharibu future zenu zaidi kiroho .BADILIKENI
Ati mala chache?? Wanaume mnajifariji sana na ukweli kwa mwanaume siku zote ni mipasho, mkikaa baa mnadanganyana wapo wanaosapoti ujinga lakini nyuma ya pazia anahudumia familia ake vzuri. mnasema hayo mabaya hayamkuti sababu in reality hayupo ivo.Kuwaza kua kisa flani kanifanyia ubaya basi nae baya litamkuta huwa inatokea mara chache mno mno, play part yako usijiumize kwa kusubiri flani afadhaike kisa alikufanyia ubaya.
Umewamotivate single mothers vizuri sana, ila huko kwa hao unaowaita wajaa laana hujaongea lolote la maana zaidi ya kuwatisha tu. Una points mkuu panga vizuri uzi wako uwafikie walengwa.
Hii mipasho wanaume huwa hawaizingatii kabisa wanawake ndo huwa wanapenda mipasho kama hiyo.
Hata hatujifariji ndgu yangu huo ndio ukweli, mimi pia ni mkristo ila siamini saana kuhusu hiyo karma. Ndio maana nikakwambia kutegemea flani aanguke kisa alikufanyia wewe baya ni kujiumiza bila sababu. Mungu ni wa wote wadhambi na wasio dhambi wote anawabariki ndio maana sote tupo hai majizi, majambazi wote wote.Ati mala chache?? Wanaume mnajifariji sana na ukweli kwa mwanaume siku zote ni mipasho, mkikaa baa mnadanganyana wapo wanaosapoti ujinga lakini nyuma ya pazia anahudumia familia ake vzuri. mnasema hayo mabaya hayamkuti sababu in reality hayupo ivo.
Katika kila baya unalotenda malipo yapo
Biblical daudi alimtwaa mke wa uria akamuua mumewe na akamuoa yule mwanamke but uliona Mungu alivomludi?? Na huyu ni yule Mungu amemuita
It's not karma it's simple physics, hata daudi Mungu alimpenda na anampenda hadi leo maana ameketi kwa baba. hata Yesu ni WA ukoo wa daudi. but the fact that he loves wema na wabaya haigurantee eti mabaya yako yaachwe,Hata hatujifariji ndgu yangu huo ndio ukweli, mimi pia ni mkristo ila siamini saana kuhusu hiyo karma. Ndio maana nikakwambia kutegemea flani aanguke kisa alikufanyia wewe baya ni kujiumiza bila sababu. Mungu ni wa wote wadhambi na wasio dhambi wote anawabariki ndio maana sote tupo hai majizi, majambazi wote wote.
Na kibaya zaidi wanawake mnapenda kutafuta huruma ya jamii hata kama makosa ni yenu. Na ndio hiki unachokifanya wewe hapa kutafuta huruma kua single mothers hawana makosa ila ni wanaume ndio wanakosea.
Na tatizo jingine ni kua baadhi yenu mmegeuza watoto ni kitega uchumi, mtu anazalishwa na wanaume mbali mbali ili apate child support huku na huko. Acheni hizi. Mbona kuna wanawake wamelewa watoto wao bila kelele kama hizi zako hapa.
Hapa ndo umemaliza yote mkuu. Kumbe hizi hasira zinatokana na mambo uliyopitia wewe, pole sana.It's not karma it's simple physics, hata daudi Mungu alimpenda na anampenda hadi leo maana ameketi kwa baba. hata Yesu ni WA ukoo wa daudi. but the fact that he loves wema na wabaya haigurantee eti mabaya yako yaachwe,
Scenario ziko tofauti every single mom anapitia yakwake
I've given a simple example baba angu alikaribia kufa ,waligombana na mama almost ndoa ivunjike afu mnasimplfy tu kifala we endured all of that afu mtu anataka achekewe.
Hayupo anaetafuta huruma
We simply remind you that God will provide justice
Na hayupo mwanamke anaezaa kitega kiuchumi wanazaa watoto ambao hata asipopewa io child support they still eat and go to school.