Madam secretary
Member
- Mar 6, 2015
- 70
- 221
Asubuhi nilileta Uzi hapa, bout encouraging single mothers,, kwamba one day Mungu atawalipia fedheha zote walizopitia.
Baadhi ya wanaume walaaniwa wamekuja juu sana... But ukweli haukwepeki na ukweli hauzikwi milele utatafuta tu njia.
Kabla sijawapa vidonge vyao hawa walaaniwa let me tell you this.
*anakuambia una kelele sababu hakupendi kila unaloongea kwake ni kero
*Atasema una kiburi na jeuri sababu always anatafuta sababu ya kua mbali na wewe
Let me tell you this amka asubuhi jiambie kwa sauti Mimi ni wathamani na bwana atailejesha heshima angu iliopotea. Kama n mjasiliamali amka fanya shughuli zako. achana na kudanga ,,,biashara zinakufa na kufufuka ni kawaida ukianguka inuka Mungu atakuinua siku moja.
Nyege haziui usigongwe na kila Kimwanaume kinakwambia I love you,,, wewe ni mama jiheshim bwana atajibu kwa wakati nimemuona akijibu.
Wanawake tunaomba, tunatafuta hela ,tunapendeza na tunausubili wakati wa Mungu.
Nakuja kwa wajaa laana wanaowafanya watu wasijione wa thamani.
Kwanza ukweli mchungu hakuna watu wenye wake wabovu, kama mwanaume alieacha Binti wa watu na machozi no huduma no kufahamika kama baba mtoto no what.
Sijasema kuoa hamna anaekulazimisha naongelea being responsible as a father.
Kama hataoa mke mlevi, basi utakuta mkewe anatembea na shemeji zake,,,hii nimeishuhudia kabisa nakumbuka yule kaka aliumwa pressure wiki alizimia, hajitambui. Baada ya kumkuta mkewe na mdogo ake wananyanduana kitandani kwake.
Na ukiona mke wake Hana shida basi Ile laana ake inaenda kwa mdada wa watu mala hazai ,mala watoto wanakufa mala anaumwa cancer basi tu taflani.
Ndoa zote Zina shida ila za hawa jamaa arooo ni za moto.
Babu zetu walikua mpaka na wake kumi na mbili, unajua how did they manage? They respected all of their woman's
Walikua so responsible kwa familia na Bibi zetu walivumilia sababu despite of being 12 anawaheshimu wote kama wake zake.
Kikaka cha saizi kinamzalisha mwanamke,,,kinazimwaga kasolo zake zote.....kwa kila anaemuona ili tu kaonekane Kako smart na pale ilikua hit and go!!! bahati mbaya mimba ikatokea.
Well you're very stupid and you're digging you're own grave.
Fedheha yako ikikukuta utatamani uzame ndani ya ardhi na hutaweza
Nimewaona wakakaa wamewazalisha wanawake, wamewapangia na wamewapa mitaji na mtoto anamsomesha na ameoa mke mwingine.. but ma mtoto na mtoto anamuhudumia bila shida. nyie wa ivi Mungu awabariki awape siti ya mbele mbinguni.
It's normal single mothers kudharaulika now but ten years from now kuna Mambo ya ajabu yatatokea and it's all because ya kile tulichopanda.
Hayupo anaekulazimisha kuoa just be a responsible father.