Tunauza vitenge na viatu kwa bei ya jumla

Tunauza vitenge na viatu kwa bei ya jumla

nickhubert

Senior Member
Joined
Jun 17, 2015
Posts
113
Reaction score
25
MJN ni wauzaji wa Vitenge na Viatu vya kike kwa bei ya jumla pia kwa kushirikiana na JITA mobile school wanatoa mafunzo ya ujasiriamali kama kutengeneza batiki na sabuni za aina zote mafuta, shampoo, na vingine vingi tu...

Pia tunahitaji mawakala Dar, Morogoro, Arusha, na Kilimanjaro.

Namba (Whatsapp): 0753606603
SMS: 0689606603
 
Je wakala mnahitaji awe na vigezo vipi?mfano akaunt yake ,au biashara kama lazima awe nayo,pia si vibaya mkaweka na starting price
 
Naomba mnichek whatassp nimeshindwa kupost picha hapa
 
Back
Top Bottom