TUNAUZA [HASHTAG]#VIFARANGA[/HASHTAG] Na [HASHTAG]#MAYAI[/HASHTAG] YA KUKU AINA YA [HASHTAG]#KUROILER[/HASHTAG].
1.Tunaunza Mayai kwa ajili ya kutotolesha ya kuku aina ya Kuroiler. Tray ni sh 18,000.
2.Tunauza Vifaranga wa Kuroiler @ 2500/= ( kwa Mwezi November tu, Vifaranga 100 utalipia sh 230,000/=)
*Vifaranga Wote wanakua na chanjo ya Marek's
**TUNAKOPESHA VIFARANGA KWA VIKUNDI VYA UFUGAJI
Sifa zake za Kuroiler:
1. Hawapatwi na magonjwa kirahisi
2. Wanaanza kutaga mayai miezi 5 na hutaga mfufulizo kwa muda wa miaka 2.
3. Wana uwezo wa kutaga mayai 250 - 300 na zaidi kwa mwaka
4. Unaweza ukafuga kuku hawa kwenye sehemu ya uwazi.
5. Kuroiler hukuwa haraka, mitetea wanakuwa na uzito wa kg 3.5 na majogoo hufikia kg 5 .
6. Hawalalii
7. Mayai ya kuroiler ni fertile ( Yanatotolesheka)
Tupo Kihonda, Morogoro
Maelezo zaidi tupigie
Simu au SMS 0715 601605
WhatsAPP 0767 601605
Karibuni sana.