Tunauza Sungura

Tunauza Sungura

mrkazi360

Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
69
Reaction score
40
Sungura Wanauzwa
Piga sim chap No Chat
Piga 0612323330
 

Attachments

  • IMG-20250826-WA0061.jpg
    IMG-20250826-WA0061.jpg
    62.7 KB · Views: 20
  • IMG-20250826-WA0060.jpg
    IMG-20250826-WA0060.jpg
    57.6 KB · Views: 21
Hapa ndipo tunapozidiwa na wenzetu kwenye Biashara.

Tunaishia kuwalaumu wageni.

Kweli TANGAZO mimejitosheleza kweli.?

Hakuna Location hakuna taarifa za Msingi.

Wabongo tubadirike.
 
Wacha kumumunya maneno mkuu! Sema kabisa tu kwamba hata ndipo tunapozidiwa na wenzetu Wakenya!
Hapa ndipo tunapozidiwa na wenzetu kwenye Biashara.

Tunaishia kuwalaumu wageni.

Kweli TANGAZO mimejitosheleza kweli.?

Hakuna Location hakuna taarifa za Msingi.

Wabongo tubadirike.
 
Sema uko mkoa gani, sungura aina gani, wana uzito wa kiasi gani, na bei gani, acha ufala wewe unafanya biashara kama mgogo bana
Yan kuna watu ni wapumbavu sana na hawajui kabisa biashara wajinga hawa. Yeye anaona ndio kaweka tangazo hapo. Very poor
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom