Tunauza Solar na Bidhaa zake

Tunauza Solar na Bidhaa zake

Marketer

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
261
Reaction score
55
Mzigo wa vifaa vya solar umeingia nchini kwa bei poa ya kumaliza mzigo fasta fasta toka Japan. Guarantee ipo kama tutakufungia sisi wenyewe site kwako, ukinunua tu bidhaa utapata warranty tu. Mali safi ya ubora wa hali ya juu! Ofisi mnazi mmoja. Piga namba 0713978353, website yetu iko matengenezoni. Doccument zote unapata, risiti, kila kitu. teda pia tunaandika ni kampuni ina document zote. Na tunao watalamu wa kuinstallpia kama utataka, ukitaka kununua jumla pia tunakuuzia. Hata kama unataka vifaa kiasi tu tunakuuzia jumla.

BEI ZA JUMLA

SOLAR PANNELS

100W kwa 300,000/=

185W kwa 350,000/=

240W KWA 400,000/=

SOLAR BATTERY

SPB 100 AH KWA 270,000

SPB 120 AH KWA 300,000

55 AH KWA 200,000

SPB 7 AH KWA 70,000

INVENTORS

1400VA 24V KWA 670,000

600VA 12V KWA 400,000

800VA KWA 500,000

2.5 KVA KWA 1700000

3.5KVA KWA 2300,000
 
hizi products ni kutoka kampuni zipi?
 
mkuu naomba utusaidie tujue system ipi inafaa kwa matumizi yepi, mfano kama nataka kuangalia TV ninunue system ipi, kama nataka taa peke yake etc.
 
Ni Brand gani?mafafa yamezidi mjini!
Ni za Japanese brands KYOCERA made in Germany, assembled in China zingine Japan NA SUKAM made in India ziko well known globally! You can google
 
mkuu naomba utusaidie tujue system ipi inafaa kwa matumizi yepi, mfano kama nataka kuangalia TV ninunue system ipi, kama nataka taa peke yake etc.
Hioinbidi sasa uongee na fundi wako ajua vifaa vyako vinahitaji watts ngapi then akudesignie mchoro.
 
Mzigo wa vifaa vya solar umeingia nchini kwa bei poa ya kumaliza mzigo fasta fasta toka Japan. Guarantee ipo kama tutakufungia sisi wenyewe site kwako, ukinunua tu bidhaa utapata warranty tu. Mali safi ya ubora wa hali ya juu! Ofisi mnazi mmoja. Piga namba 0713978353, website yetu iko matengenezoni. Doccument zote unapata, risiti, kila kitu. teda pia tunaandika ni kampuni ina document zote. Na tunao watalamu wa kuinstallpia kama utataka, ukitaka kununua jumla pia tunakuuzia. Hata kama unataka vifaa kiasi tu tunakuuzia jumla.

BEI ZA JUMLA

SOLAR PANNELS

100W kwa 300,000/=

185W kwa 350,000/=

240W KWA 400,000/=

SOLAR BATTERY

SPB 100 AH KWA 270,000

SPB 120 AH KWA 300,000

55 AH KWA 200,000

SPB 7 AH KWA 70,000

INVENTORS

1400VA 24V KWA 670,000

600VA 12V KWA 400,000

800VA KWA 500,000

2.5 KVA KWA 1700000

3.5KVA KWA 2300,000

Mkuu ulisema km mteja akitaka kufungiwa mnaweza kumfungua nyie wenyewe. Inakuwaje akija dukani kwako na akitaka umsaidie kujua vifaa km tv na taa zitagharimu kiasi gani na atahitajika kufunga solar ya ukubwa gani kupata umeme kwa mda anaotaka wakati huo huo unasema mambo hayo inabidi asaidiwe na fundi wake. Nyie hamuwezi kumsaidia kufanya designing ili kila kitu mmalize ofisini na akinunua mnaenda tu site?
 
NDIO MCHORO AKA DESIGN UNAANGALIA PANNEL NGAPI, SIZE YA INVENTOR,CHARGER CONTROLLER, SIZE YA PANNEL, IDADI YA BATTERY NA ARRANGEMENT YA BATTERY! Nmeandika herufi kubwa usome uelewe! sasa kama una mradi mkubwa, bila mchoro utaenda?
 
Sawa mkuu
 
Mkuu ulisema km mteja akitaka kufungiwa mnaweza kumfungua nyie wenyewe. Inakuwaje akija dukani kwako na akitaka umsaidie kujua vifaa km tv na taa zitagharimu kiasi gani na atahitajika kufunga solar ya ukubwa gani kupata umeme kwa mda anaotaka wakati huo huo unasema mambo hayo inabidi asaidiwe na fundi wake. Nyie hamuwezi kumsaidia kufanya designing ili kila kitu mmalize ofisini na akinunua mnaenda tu site?
Sisi tunafnga miradi au projects kubwa na za kati kutkana na gharama zilivo, na Egineers wapo, mie ni sales tu, siwezi kumsaidia maana mu anataja vifaa bila kuvijua kiundani afu unarecommend system ndogo kumbe mahitaji makubwa inakuja kuwa issue. Na kwanini tufanye biashara ya kukisia? Mtu anaweza kusema natumia Tv tu kumbe tv lenyewe plasma kubwa.
Design tunayofanya sisi lazima tupeleke mtu site, vya kukisia hatufanyi hata siku moja manake imeonesha wateja si waaminifu, wanadanganya kupunguza cost afu baadae inakuwa usumbufu kubailisha vitu afu anakomaa mlinishauri .
 
Mkuu hizo battery zako ni dry cell? Na zinahitaji kuwa replaced baada ya muda gani?
 
Ni dry cell ndio lie span yake ni 5 to 7 years even more kutegemeana na utunzaji. Wet cell pia tunazo.
 
Sisi tunafnga miradi au projects kubwa na za kati kutkana na gharama zilivo, na Egineers wapo, mie ni sales tu, siwezi kumsaidia maana mu anataja vifaa bila kuvijua kiundani afu unarecommend system ndogo kumbe mahitaji makubwa inakuja kuwa issue. Na kwanini tufanye biashara ya kukisia? Mtu anaweza kusema natumia Tv tu kumbe tv lenyewe plasma kubwa.
Design tunayofanya sisi lazima tupeleke mtu site, vya kukisia hatufanyi hata siku moja manake imeonesha wateja si waaminifu, wanadanganya kupunguza cost afu baadae inakuwa usumbufu kubailisha vitu afu anakomaa mlinishauri .

Sawa kiongozi. Umeeleweka
 
Nataka nifunge solar Bila kutumia invetor, Je kuna tatizo lolote au? Na taa mnazo pia?
 
Nielimishe hapa marketer.
1.Ukiwa na solar W340,itabidi uwe na:-inverter,battery,charger controller ya ukubwa gani na bei zake tafadhali,nina mpango huo.
 
ni vizur unapomshauri mtu kuweka solar kuangalia na baadae atakuwa na nn.

Je mie nina pasi, fridge, taa, mzik tv chogo computer nk..je kuna type hapo inaweza sukuma vyote kwa mpigo? au baadh (pasi)
 
inabidi kujua vote vinakula watts ngapi! type zipo kabisaaa ni kwamba unachukua pannel kubwa na battery kubwa zenye uwezo huo! kuna mradi wa solar ya kusukuma kiwanda tumeundikia wanaweka pannel heka nane!
 
Back
Top Bottom