victorsaule777
Member
- Mar 8, 2017
- 8
- 19
1. SIMU ZA MEZANI (New models)
Mawasiliano 0716277365
Bei ni sh 115,000/= tu, zinaingia laini yeyote (single line), betri ya kuchaji(Inatumia chaja ya kawaida), fm-radio, inapokea na kutuma sms, inaonesha missed calls, ina phonebook,loudspeaker, kwa kifupi÷ inafanya kazi kama simu ya kawaida ya mkononi.
2. TVBOX
Bei÷150000/=tsh
Ifanye tv yako yakawaida kuwa smart tv au android tv bila kujali ni chogo ama flat tv,
kwa kutumia TVBOX ya kisasa kabisa yenye ubora wa picha wa 4K (bora kuliko full HD, yani full HD inaingia mara 4 kuifikia ubora wa 4K.)
Kupitia tvbox utaweza kuperuzi, kudowload au kupakua applications mbali mbali kama vile azam tv, mobdro tv ili uweze kuinjoy kungalia mechi za mpira wa miguu live, epl,laliga, serie A, bundesiliga, French league one, ligi ya bongo, na pia utaweza kudowload movies na kuangalia tamthilia na vipindi mbali mbali vya tv kwa kutumia Internet.
3. PROJECTOR! PROJECTOR!!!
(A). LEJIADA projector(new)
Bei÷ 350,000/=tsh
Zinaonesha ukubwa wa nchi 50 - 130, zinaingia flash, memory card, HDMI, USB, VGA nk. (B). EPSON projector (used)
Bei÷ 650,000/=tsh
Ina picha ya ukubwa wa nchi 150, unatumia VGA, AV n.k picha yake ni nzuri Sana Kwa matumizi yote. Asante!!
Tupo Dar es salaam Ilala machinga complex, floor ya kwanza kizimba namba E(2)64-68. delivery ipo kwa wakazi wa Dar es salaam ila wamikoani wanatumiwa kwa mabasi. Kwa mawasiliano zaidi
au
0712903435. Asante!
Sent using Jamii Forums mobile app