INAUZWA Tunauza Simu za aina mbalimbali

INAUZWA Tunauza Simu za aina mbalimbali

Ongezea nyama kudogo angalau storage tufahamu'Alafu hiz znatumia Mtk au snapdragon?
 
Ongezea nyama kudogo angalau storage tufahamu'Alafu hiz znatumia Mtk au snapdragon?

Ram gb 4
Storage gb 64
Processor snapdragon 670
Camera ya google pixel haiitaji maelezo
Anajulikana yeye ndo mtaalamu wa hizi kazi
 
Hivi yule aliye leta Uzi, alinunua simu, application jina Jiji,
Baada ya muda ikawa inapiga yenyewe 112
Na mlio wa king'ora!Mbona hakuleta mrejesho jamani?
Lakini kama una duka,pia unatoa risiti ni jambo jema

Biashara dukani na warranty tunaandikishana
 
Zinan’gaaaaaaaaaa
Fingerprints
True tone
IOS 16
Gb64
Bh100%
Warranty miezi 10
Bei 390,000
Kkoo Mtaa wa aggrey na likoma
Dar es salaam
0628139218

IMG_9077.jpg
 
IMG_9064.jpg
 

Attachments

  • 1a71ff72-9e1c-4098-8086-5dfa8971f90b.jpg
    1a71ff72-9e1c-4098-8086-5dfa8971f90b.jpg
    50.6 KB · Views: 22
Hz refubrish eti au ni orginal ngoja nimuite mtaalamu bwana National Anthem aje azibitishe Kama Ni halisi au lah

Sent from Germany technology
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom