Tunauza pumba laini za mpunga na chenga

Tunauza pumba laini za mpunga na chenga

Mr dark light

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
298
Reaction score
253
Wakuu
Nawakaribisha wale wafanya biashara wa chenga na wale wafanya biashara wa pumba laini kuna mzigo wa kutosha, karibuni sana chenga bei ni @ 850 mpaka dukani na pumba debe 7 ni 30 elfu mpaka kwako
 
Bado mzigo bado upo wa kutosha yaani pumba laini, chenga na mchele
 
Wakuu
Nawakaribisha wale wafanya biashara wa chenga na wale wafanya biashara wa pumba laini kuna mzigo wa kutosha, karibuni sana chenga bei ni @ 850 mpaka dukani na pumba debe 7 ni 30 elfu mpaka kwako
bei juu sana hiyo
 
Back
Top Bottom