Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,588
- 2,433
Kama wewe una biashara yenye matawi, hii ni habari njema kwako. Hizi ni zama za kidigitali, Business Digitalization Solution, tumekuja na program unayoweza kutumia kwa simu au computer ambapo taarifa za mapato na matumizi kutoka kila tawi utaweza kuziona kila zinaporekodiwa ukiwa popote. Program iitwayo Sage one inapishana na program za kawaida kwa kufanya yafuatayo :
1.Kufanya stock taking kwa ku update taarifa kila ukifanya mauzo au kuongeza stock
2.Kuhamishia taarifa zako kama wateja na bidhaa ulizonazo toka excell kuja kwenye Sage One kwa single click
3.Kutoa ripoti ya faida na hasara ya biashara kwa wiki,mwezi, muhula au mwaka
4.kutoa ripoti ya Asset za biashara
5. Kuandaa receipt, invoice na document za biashara zenye logo ya biashara husika
6.Kutoa ripoti ya Top 10 ya bidhaa zinauzwa kwa wingi
7. Kutoa ripoti ya Top 10 ya wateja bora
8. Kuingiza bajeti yako ya mwezi au mwaka ili kujipima usahihi wa matumizi
9.Kuandaa VAT kila mwezi
10. Ripoti ya Cash flow
Pia utapata Support ya BURE kwa mwaka mzima. Tupo Kibaha Mjini, tunahudumia nchi nzima kwa njia za kisasa, wasiliana nasi muda huu
0713039875
Dr. Mussa Zaganza
Business Digitalization Solution