Tunauza nyama ya kitimoto

Susan85

Member
Joined
May 23, 2017
Posts
86
Reaction score
19
Karibuni tunapokea order za kitimoto (nyama ya nguruwe) kwajili ya kusambaza jumapili.kilo tunauza elfu 9 pmj na gharama nzima ya kusafirisha order popote ulipo.asante.sms 0756661761/+255627800800 kwa order.
 
Nje ya nyama watoto huna mkuu wa nguruwe...????
 
Elfu 9 duh,...ikipikwa tu kwa rosti inakua bei ngapi,?
 
Karibuni tunapokea order za kitimoto (nyama ya nguruwe) kwajili ya kusambaza jumapili.kilo tunauza elfu 9 pmj na gharama nzima ya kusafirisha order popote ulipo.asante.sms 0756661761/+255627800800 kwa order.
Mfungo ukiisha pelekeni Zenji na Tanga...ndani ya siku 2 mtakuwa mabilionea.
 
Reactions: B40
Karibuni tunapokea order za kitimoto (nyama ya nguruwe) kwajili ya kusambaza jumapili.kilo tunauza elfu 9 pmj na gharama nzima ya kusafirisha order popote ulipo.asante.sms 0756661761/+255627800800 kwa order.

kuharibiana bajeti, mate yashanitoka hapa
 
Aisee! ngoja nisogee kwa mangi nikafanye yangu.
 
Kuna ugonjwa wa kitimoto nimeambiwa upo mjini. Na kwamba tusile nyama. Vipi umepita?

Mapendo.
 
No ulishapita zamani mwaka Jana maeneo Ya mbali haukufika dar wala huku bagamoyo
 
Karibuni tunapokea order za kitimoto (nyama ya nguruwe) kwajili ya kusambaza jumapili.kilo tunauza elfu 9 pmj na gharama nzima ya kusafirisha order popote ulipo.asante.sms 0756661761/+255627800800 kwa order.
Mpo wap?dar es salaam au
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…