Tunauza na kutengeneza furniture aina zote

Mtu mwenye kilo 304 anaweza kulala kwenye hiki kitanda na kisivunjike wakati wa kumgegeda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana LadyRed kwa kesi kama iyo mtafute fundi aliye karibu yako arudie kupulizia rangi ya dawa.(kumbuka kumwambia neno ili "rangi ya dawa")

rangi ya dawa ni nzuri na harusu michubuko kabisa labda ukiwa umekusudia kuchubua au kuweka moto juu ya kitanda ndio itachubuka.

Ukipendezwa unaweza fika ofisini kwetu kawe kanisani karibu na mahakama tutakufanyia kazi hiyo kwa bei nafuu kabisa. Karibu
Hongereni kwa kazi nzuri
Naomba msaada
Kuna bedside table nyeupe inachubuka rangi kirahisi mno kutokana na kukalisha vitu juu yake

Nipake nini kurudishia kama ilivyokuwa..ili idumu zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante sana Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…