Tunauza na kutengeneza furniture aina zote

Mkuu kitanda kama hiki unaweza kutengeneza kwa hela ngapi..??
831471625.g_400-w_g.jpeg


~~Kitakachokupa ushindi ni juhudi zako~~
 
Tunatengeneza furniture bora, imara na za kisasa kwa bei na fuu. furniture kama kabati, Dressing table, Daining table, stend za TV, kabati za jikoni, kabati za tukani, vitanda aina zote na flem za milango. Tunapatikana kawe kanisani mkabara na mahakama, kwa mawasiliano piga no. 0684085052

View attachment 1324675View attachment 1324676View attachment 1324677View attachment 1324679

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kabuki ya nguo ya kwanza Kabis ni shilingi ngapi?
 
Back
Top Bottom