Kwa mahitaji ya mbao za kupaulia za dawa na kawaida karibuni
Napatikana buguruni chamaHahahahaa,mbao ziko wapi mkuu,unauzaje hozo mbao zako?
Aisee hizi mbao unazouza zipo vizuri sana
2x4 5500Za kawaida bei gani? Mimi nipo kigamboni usafiri inakuwaje?
Usafiri juu yako2x4 5500
Uko maeneo gani mwanza? Mirunda pia unayo?Kwa wale wa Mwanza wasiliana nami namba 0714263983. Ni mbao nzuri kutoka msitu wa serikali Buhindi.