Siko hulia kwaiyo mpk chanika derived ni juu yenu
🤣🤣🤣Mnajua kumsakama mtu aloooo... usafi ni tatizo sana.
Quality ya bidhaa za vyakula ni muhimu sana Chief. Mazingira ya kuandaa hayo maziwa; usafi wa mkamuaji; vyombo; uhifadhi. Ngombe hawako kwenye dozi; nk. ni mambo muhimu ya kuzingatia.🤣🤣🤣Mnajua kumsakama mtu aloooo
Hili Jiji kila kitu tunachokula ni hovyo tunalindwa na Mungu tu😃Quality ya bidhaa za vyakula ni muhimu sana Chief. Mazingira ya kuandaa hayo maziwa; usafi wa mkamuaji; vyombo; uhifadhi. Ngombe hawako kwenye dozi; nk. ni mambo muhimu ya kuzingatia.
... kwa kudra au siyo? Hadi lini.Hili Jiji kila kitu tunachokula ni hovyo tunalindwa na Mungu tu😃