MAZIWA SAFI YASIYOCHANGANYWA NA MAJI WALA CREAM!!!
Tunauza maziwa fresh na mtindi kuanzia lita tano
Maziwa fresh kwa lita tano ni 10,000/-Tshs.
Maziwa mtindi kwa lita tano ni 12,000/-Tshs
Tunakuletea popote ulipo bure ndani ya Dar es Salaam.
Toa oda yako 0788-407407
Maziwa Fleshhhhhhhhhhh
Anyway,wazo ni zuri sana mkuu
Kaza buti hakikisha unatoa huduma bora zaidi bila kuchepuka na maji.
Hope utafanikiwa kwa hiyo hudma yako ya Mobile