Unasema bila kujua.
Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni biashara kichaa.
Ni kichaa, wala sio uongo! Kwanza, ufugaji wa kuku wa kienyeji ni pasua kichwa! Ukisema uwafungie ndani, taabu na ukifanya free range system; taabu! Lakini pamoja na taabu yote hiyo, unalilisha kwa zaidi ya miezi 6 wakati halikupi chochote kile cha maana! Kama ni koo, baada ya hiyo miezi 6, ndo kwanza linaanza kukuletea tumayai 10 kwa kila mtago! Hata ukisema uwe unayatoa kila anapotaga, labda amezidi sana, tumayai 20 kabla hajakususia kiota chako!Unasema Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni biashara kichaa ????? kivipi