Tunauza mapazia

clasi

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
379
Reaction score
722
Salam Wadau
Tunapima & kuuza mapazia kwa style/design, rangi unayoipenda kwa sasa tunafanya shughuli zetu Dar es Salaam tu japo tuna mpango wa kufungua ofisi zetu sehemu nyingine hasa Arusha,Moshi na Nairobi. Karibuni sana.
 
Ni mazuri, nimeyaona leo pale feri
 
No contact tutawapataje?
Wekeni tangazo kamilifu
 
marketing gani hiyo sasa? mko dar sehemu gani? weka picha ya hayo mapazia nina shida nayo.
 
mnapatikana wapi, shilingi ngapi andika basi na contact zenu na bei ikiwezekana weka na picha za sample
Salam Wadau
Tunapima & kuuza mapazia kwa style/design, rangi unayoipenda kwa sasa tunafanya shughuli zetu Dar es Salaam tu japo tuna mpango wa kufungua ofisi zetu sehemu nyingine hasa Arusha,Moshi na Nairobi. Karibuni sana.
 
Tangazo lako limefanana na kipofu au bubu halina kichwa wala mguu,make it clear au onana na watu waliosoma marketing wakusaidie.
 
Salam Wadau
Tunapima & kuuza mapazia kwa style/design, rangi unayoipenda kwa sasa tunafanya shughuli zetu Dar es Salaam tu japo tuna mpango wa kufungua ofisi zetu sehemu nyingine hasa Arusha,Moshi na Nairobi. Karibuni sana.
Somo Dogo tu:
1. Mnapatikana dar es salaam sehemu/mtaa gani?
2. Mnapatikana kwenye namba/email au basi P.O.Box ipi?
3. Mnaweza kusupply "volume" kiasi gani per day/week/month?
4. Mna branches?
 
Wakitoa adress watumie na Invoice make umewasaidia sana.
 
Du kwa hiyo tangazo ndio limekamilika du
 
Zingatia ushauri uliopewa kuboresha tangazo lako. Wengi tungependa hiyo bidhaa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…