Tunauza mapazia ya kisasa-Mwanza

mmekutravella

Senior Member
Joined
Apr 16, 2013
Posts
100
Reaction score
33
Kwa wale wafanyabiashara ya mapazia tunapenda kuwataarifu kuwa tunauza kwa jumla na rejareja mapazia ya kisasa kabisa toka uturuki..tunayo majora (bales) za ukubwa tofauti nyepesi na nzito..pia tunafanya delivery Tanzania nzima pamoja na East Africa..Tunapatikana Mwanza mtaa wa Lumumba opposite na Shinyanga hotel. Pia unaweza kutupigia au kututumia ujumbe wa WhatsApp @ 0658749415 au 0767350415.. Hizi ni baadhi ya sampo zetuView attachment 885816View attachment 885822
 
Nahitaji kwa ajili ya back ground nitapata pazia nyeusi na kwa sh. Ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…