Tunauza magari kwa bei ya biscut

Tunauza magari kwa bei ya biscut

Gari za aina gani mnazo? Ungeweka hapa kile unachokiuza kisha Sisi wanunuzi tuchague,tuulize bei,tupatane na tufanye biashara!! Biashara gani unaleta hii? Una magari ya watoto?
 
toyota cami shi ngapi? na ni ya mwaka gani? na imelipiwa nini na nini? je mnanunua au kubadilishana gari kwa gari?
 
vitz model ya mwaka 2000,iwe nyeusi,5doors,low mileage,free from accident,naipata kwa kiasi gani mkuu?
 
Nina s efu 3 ambayo inanunua biscuit luxury,naweza pata gari gani?
 
Raum, iliyotengenezwa kati ya mwaka 2000 & 2004, mileage 80000km, bei gan
 
Na ubora wa biskuti jaman,nilisahau kumalizia!
 
Nyumbu unazo...nasikia zinaundwa jeshini nahitaji ya 2012, low millage, no accident, na good condition engine, low cc na vigezo vyote vizuri...pm kama unalo
 
Nyumbu ya 2004 not imported direct from JWTZ 75000km imetembea na cc 1990 mnayo??
 
gari kwa bei ya biscuit?
mbona unaitangaza kwa mtindo huu biashara yako?
umenikumbusha Akerlof 1970; The Market for "Lemons"
 
Toyota Avensis ya 2003-2006 rangi ya kijivu au nyeusi isiyozidi km 90000 pia CC zisizidi 2000 ambayo ni 4WD nitaipata kwa kiasi gani mkuu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom