ZEE LA SUMBAWANGA
Member
- Nov 1, 2014
- 15
- 0
watanzania bado sana katika biashara, sijawahi kuona wenzetu wakifanya biashara kwa style hii ya kipekee.
piga simu namba 0768359292
Mkuu umeona mbali sana,maana mie kufungua tu nikastuka,nikasema hivi kweli ndio kizazi cha ushindani hiki.
subiri majibu yake uone yatakavyokuja hovyo kwa alivyoulizwa
piga simu namba 0768359292
binafsi nawasifu sana wauza sabuni na dawa za meno ambao huingia kwenye mabasi ya mikoani na kunadi biashara zao. wanapoingia watu wengi huwapuuza, lakini the way wanavyojieleza na zile mbwembwe zao watu wanashawishika na kuanza kununua bidhaa zao ingawa wala hawakupanga kununua. muuza dawa ya meno anaweza kujinadi lakini muuza magari anashindwa!
piga simu namba 0768359292
piga simu namba 0768359292