Hiyo vamguard iko domUsed kutoka japan au bongo
Turbo au non turbo
Weka picha niioneVits tunayo kuanzia mil 6
Nisaidie unipe option mbali mbali na sifa zake ... utanisaidia kuwa na uwanja mpana wa kuchaguaUsed kutoka japan au bongo
Turbo au non turbo
Unayo IST? Kuna mtu ana bajeti ya tsh 6.5mil
Ukiipenda hio nambie. 6Million onlySpacio mkuu iliyotumika Bongo au imported bei kuanzia 7 M