HiDEmYiD JF-Expert Member Joined Mar 14, 2018 Posts 1,893 Reaction score 3,646 Dec 28, 2020 #141 Spark said: Gar zima itakua bei gan? Click to expand... Hahaha jamaa ako anauza gar ya ke skrepa ngoja aje uzi mwengine wa kuuza tairil.
Spark said: Gar zima itakua bei gan? Click to expand... Hahaha jamaa ako anauza gar ya ke skrepa ngoja aje uzi mwengine wa kuuza tairil.
K kinje ketile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 5,366 Reaction score 10,105 Dec 28, 2020 #142 Hahahah.... Eti uchafu..! Pengine kamera yake hakuitegesha vizuri au haitoi picha nzuri , sasa ushauri aazime kamera ingine ili tuone vizuri
Hahahah.... Eti uchafu..! Pengine kamera yake hakuitegesha vizuri au haitoi picha nzuri , sasa ushauri aazime kamera ingine ili tuone vizuri
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,195 Reaction score 49,117 Dec 28, 2020 #143 Spark said: Nimetowa sema nimetoa. Kelia sema keria,chengine jaribu kua na roho ya utu..huo uchafu unauza 185k kwel binadamu tuna roho ngumu. Click to expand... Yaani kama huo umeona ni uchafu then ukienda kwa wauza spare used then utakua unaona kila kitu pale ni uchafu.
Spark said: Nimetowa sema nimetoa. Kelia sema keria,chengine jaribu kua na roho ya utu..huo uchafu unauza 185k kwel binadamu tuna roho ngumu. Click to expand... Yaani kama huo umeona ni uchafu then ukienda kwa wauza spare used then utakua unaona kila kitu pale ni uchafu.
kajojo JF-Expert Member Joined Jun 9, 2012 Posts 2,946 Reaction score 5,487 Dec 28, 2020 #144 Spark said: Nimetowa sema nimetoa. Kelia sema keria,chengine jaribu kua na roho ya utu..huo uchafu unauza 185k kwel binadamu tuna roho ngumu. Click to expand...
Spark said: Nimetowa sema nimetoa. Kelia sema keria,chengine jaribu kua na roho ya utu..huo uchafu unauza 185k kwel binadamu tuna roho ngumu. Click to expand...
Bwii89 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 1,001 Reaction score 1,025 Dec 28, 2020 #145 HiDEmYiD said: Kapunguza 5k Click to expand... Ikifika 30k nistue
Bwii89 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 1,001 Reaction score 1,025 Dec 28, 2020 #146 Yan mtu mzima na heshima zako unanunua huo uchaf wenye kutu kwa 180k unafunga kwenye gar lako? Shame upon u! mng'ato said: Yaani kama huo umeona ni uchafu then ukienda kwa wauza spare used then utakua unaona kila kitu pale ni uchafu. Click to expand...
Yan mtu mzima na heshima zako unanunua huo uchaf wenye kutu kwa 180k unafunga kwenye gar lako? Shame upon u! mng'ato said: Yaani kama huo umeona ni uchafu then ukienda kwa wauza spare used then utakua unaona kila kitu pale ni uchafu. Click to expand...
Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,508 Reaction score 13,976 Dec 28, 2020 #147 Hakune "Chengine" kwenye Kiswahili sanifu. Spark said: Nimetowa sema nimetoa. Kelia sema keria,chengine jaribu kua na roho ya utu..huo uchafu unauza 185k kwel binadamu tuna roho ngumu. Click to expand...
Hakune "Chengine" kwenye Kiswahili sanifu. Spark said: Nimetowa sema nimetoa. Kelia sema keria,chengine jaribu kua na roho ya utu..huo uchafu unauza 185k kwel binadamu tuna roho ngumu. Click to expand...
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,195 Reaction score 49,117 Dec 28, 2020 #148 Spark said: Yan mtu mzima na heshima zako unanunua huo uchaf wenye kutu kwa 180k unafunga kwenye gar lako? Shame upon u! Click to expand... Ukikua utajua haujui.
Spark said: Yan mtu mzima na heshima zako unanunua huo uchaf wenye kutu kwa 180k unafunga kwenye gar lako? Shame upon u! Click to expand... Ukikua utajua haujui.
S Sikirimimimasikini JF-Expert Member Joined Dec 27, 2019 Posts 2,939 Reaction score 15,664 Dec 28, 2020 #149 Faizafoxy pita mitaa kuna uvunjifu mkubwa wa lugha ya taifa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,496 Reaction score 185,692 Dec 28, 2020 #150 Ahsante kwa taarifa. Cc: mahondaw
zebanga watelanga JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 862 Reaction score 398 Dec 28, 2020 Thread starter #151 mng'ato said: Ukikua utajua haujui. Click to expand... Wamefunga shule wapo likizo tutasaishwa Sana nashukulu Sana kwajibu Safi na kwakunisaidia hakikua hatajua
mng'ato said: Ukikua utajua haujui. Click to expand... Wamefunga shule wapo likizo tutasaishwa Sana nashukulu Sana kwajibu Safi na kwakunisaidia hakikua hatajua
zebanga watelanga JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 862 Reaction score 398 Dec 28, 2020 Thread starter #152 HiDEmYiD said: Hahaha jamaa ako anauza gar ya ke skrepa ngoja aje uzi mwengine wa kuuza tairil. Click to expand... Kwa Sasa shule zimefungwa kwasasa kwaiyo haya tunayategemea Sana kwenye matangazo jf
HiDEmYiD said: Hahaha jamaa ako anauza gar ya ke skrepa ngoja aje uzi mwengine wa kuuza tairil. Click to expand... Kwa Sasa shule zimefungwa kwasasa kwaiyo haya tunayategemea Sana kwenye matangazo jf
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,496 Reaction score 185,692 Dec 28, 2020 #153 Ahsante kwa taarifa... Cc: mahondaw
Bwii89 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 1,001 Reaction score 1,025 Dec 28, 2020 #154 Izo taa ukiuza hata kwa elf 50 utakua umebahatika sana..kila la heli..unitumeapo ya choda! zebanga watelanga said: Shule zimefungwa kwasasa kwaiyo haya tunayategemea sana Click to expand...
Izo taa ukiuza hata kwa elf 50 utakua umebahatika sana..kila la heli..unitumeapo ya choda! zebanga watelanga said: Shule zimefungwa kwasasa kwaiyo haya tunayategemea sana Click to expand...
zebanga watelanga JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 862 Reaction score 398 Dec 28, 2020 Thread starter #155 Spark said: Izo taa ukiuza hata kwa elf 50 utakua umebahatika sana..kila la heli..unitumeapo ya choda! Click to expand... Nataman mteja ungekuwa unapanga wewe kutoka kwako ila km anapangwa namungu mbona ntauza tu
Spark said: Izo taa ukiuza hata kwa elf 50 utakua umebahatika sana..kila la heli..unitumeapo ya choda! Click to expand... Nataman mteja ungekuwa unapanga wewe kutoka kwako ila km anapangwa namungu mbona ntauza tu
Bwii89 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 1,001 Reaction score 1,025 Dec 28, 2020 #156 Kila la heli mkuu,ukipata muteja usisahau ya thoda zebanga watelanga said: Shule zimefungwa kwasasa kwaiyo haya tunayategemea sana Click to expand...
Kila la heli mkuu,ukipata muteja usisahau ya thoda zebanga watelanga said: Shule zimefungwa kwasasa kwaiyo haya tunayategemea sana Click to expand...
Bwii89 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 1,001 Reaction score 1,025 Dec 28, 2020 #157 Lamda ukamate wajinga wnzk zebanga watelanga said: Nataman mteja ungekuwa unapanga wewe kutoka kwako ila km anapangwa namungu mbona ntauza tu Click to expand...
Lamda ukamate wajinga wnzk zebanga watelanga said: Nataman mteja ungekuwa unapanga wewe kutoka kwako ila km anapangwa namungu mbona ntauza tu Click to expand...
Bwii89 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 1,001 Reaction score 1,025 Dec 28, 2020 #158 Huo uchafu nenda kapime chuma chakavu,nani atanunua uchafu wenye kutu! Unadhani pesa inaokotwa? zebanga watelanga said: Kila tangazo langu una lipondea kwel kwel akika wewe ndio ungekuwa mpangaji wanani anunue nanani asinunue nisingeuza kabisa Click to expand...
Huo uchafu nenda kapime chuma chakavu,nani atanunua uchafu wenye kutu! Unadhani pesa inaokotwa? zebanga watelanga said: Kila tangazo langu una lipondea kwel kwel akika wewe ndio ungekuwa mpangaji wanani anunue nanani asinunue nisingeuza kabisa Click to expand...
Bwii89 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 1,001 Reaction score 1,025 Dec 28, 2020 #159 Ukifikia kuuza izo tairi nistue mkuu! Nataka za kwendea mkoa! zebanga watelanga said: Kelia yakubebea mizigo ktk gari ndogo Ipo kinondoni nimetowa ktk gari yangu naiuza bei 185,000 Ipo kinondoni 0712690760,,, 0755984282View attachment 1661634View attachment 1661635 Click to expand...
Ukifikia kuuza izo tairi nistue mkuu! Nataka za kwendea mkoa! zebanga watelanga said: Kelia yakubebea mizigo ktk gari ndogo Ipo kinondoni nimetowa ktk gari yangu naiuza bei 185,000 Ipo kinondoni 0712690760,,, 0755984282View attachment 1661634View attachment 1661635 Click to expand...
Bwii89 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 1,001 Reaction score 1,025 Dec 28, 2020 #160 Unauza taa kutoka kwenye gar yako au umezipiga sehemu? Kua mkwel ndugu,tusaidiane..mambo magumu hapa mjin zebanga watelanga said: Sawa mwelevu lakini ndio hivyo ntauza tu mbona Click to expand...
Unauza taa kutoka kwenye gar yako au umezipiga sehemu? Kua mkwel ndugu,tusaidiane..mambo magumu hapa mjin zebanga watelanga said: Sawa mwelevu lakini ndio hivyo ntauza tu mbona Click to expand...