Kupata majaliwa
New Member
- Jan 26, 2016
- 4
- 0
Wasalaam waleikhu na bwana asifie kwenu, natumaini nyote mnaendelea vizuri na shughuli za ujenzi wa Taifa letu hili.
Dhumuni la kuandika thread hii ni kupenda kuwatangazia umma kuwa nauza maeneo yangu mawili, moja lipo Mbweni - Mpiji ambalo lina ukubwa wa Square Metre 1499 sambamba kabisa na hati yake, kutoka eneo lilipo sio mbali na barabarani, huduma zote za msingi zinapatikana kama vile maji, umeme na huduma za afya - Bei yake ni Milioni 85 maongezi yapo.
Eneo lingine lipo Madale kwenye viwanja vilivyopimwa ambalo lina ukubwa wa square Metre 530, Bei yake ni milioni 30 tu. Huduma zote za msingi zinapatikana.
Hili eneo la tatu sio langu bali ni la shemeji yangu ambaye nae analiuza ni shamba lenye heka 4 lipo madale kwa kawawa, kila heka ni shilingi milioni 35 maongezi yapo, bado halijapimwa, kutoka barabara ya lami ya wazo ni nusu kilometre.
Kwa Mawasiliano zaidi unaweza ukawasiliana nasi kupitia namba hizo hapo chini
0753 450 240
0683 56 28 87
au kwa barua pepe
Email : abdchandetz@gmail.com
Wote Mnakaribishwa
We boya kweli kwanini awanyang'anye kama wanamiliki kihalali wacha upuuzi. Mkuu usisikilize hawa mtima nyongo style wana payuka payuka tuAaaah wapi mimi nasubiri hadi Lukuvi awanyang'anye ndio niyanunue kwa bei poa
Aaaah wapi mimi nasubiri hadi Lukuvi awanyang'anye ndio niyanunue kwa bei poa
Aaaah wapi mimi nasubiri hadi Lukuvi awanyang'anye ndio niyanunue kwa bei poa
Mtakapouziwa viwanja vya wazi ndo mtakapoijua bongo ilivyo
Unaenda kunnua kiwanja kwa mtu mil 30 chenye sqm 530 ni akili au matope wakati kiwanja cha sqm 725 unannua kwa mil 11 kilichopimwa na serikaliMi napenda waoga kama nyie. Ndio mnaofanya angalau na sisi tusioweza kununua vya kupima tupate maeneo makubwa kwa gharama ndogo.
Nashukuru sijawahi kutapeliwa.
Unaenda kunnua kiwanja kwa mtu mil 30 chenye sqm 530 ni akili au matope wakati kiwanja cha sqm 725 unannua kwa mil 11 kilichopimwa na serikali
Hongera sana kwa Ujasiri Sister,maana wewe Mwanamke ila unajiamini kuliko hata wanaume.Mi napenda waoga kama nyie. Ndio mnaofanya angalau na sisi tusioweza kununua vya kupima tupate maeneo makubwa kwa gharama ndogo.
Nashukuru sijawahi kutapeliwa.
Endelea kusubiri huku unaongeza watoto kwenye chumba cha kupanga.
Wakikua watakununulia.
tangazo juu ya tagazoJemeni kiwanja chenye hati mbweni mpiji 645sq mt 35m karibu na international school. Unahitaji? Tayari kina msingi