sekion27 Member Joined Jul 25, 2021 Posts 56 Reaction score 37 Jul 29, 2021 #1 Pata king'amuzi cha DSTV mpaka nyumbani kwako kikiwa kimekamilika kila kitu pamoja na offer ya mwezi mmoja, na gharama ya kusafirisha mpaka kwako na kukufingia ni juu yetu kwa bei ya Tsh. 79,000 tu Piga number hii kwa maelezo zaidi 0745602798
Pata king'amuzi cha DSTV mpaka nyumbani kwako kikiwa kimekamilika kila kitu pamoja na offer ya mwezi mmoja, na gharama ya kusafirisha mpaka kwako na kukufingia ni juu yetu kwa bei ya Tsh. 79,000 tu Piga number hii kwa maelezo zaidi 0745602798
sekion27 Member Joined Jul 25, 2021 Posts 56 Reaction score 37 Jul 29, 2021 Thread starter #2 Kwa wakazi wa Arusha na Moshi
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,302 Reaction score 96,517 Jul 29, 2021 #3 Yani unakileta hadi huku Mpitimbi?
sekion27 Member Joined Jul 25, 2021 Posts 56 Reaction score 37 Jul 29, 2021 Thread starter #4 Asprin said: Yani unakileta hadi huku Mpitimbi? Click to expand... Ndio mkuu
Onenge Senior Member Joined Aug 28, 2013 Posts 199 Reaction score 167 Jul 30, 2021 #5 Mnafunga na cha Azam au dstv tu?
M Mazindu Msambule JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 7,508 Reaction score 6,891 Jul 30, 2021 #6 Mikoani mnatuma?
sekion27 Member Joined Jul 25, 2021 Posts 56 Reaction score 37 Aug 18, 2021 Thread starter #7 Onenge said: Mnafunga na cha Azam au dstv tu? Click to expand... Dstv tu
sekion27 Member Joined Jul 25, 2021 Posts 56 Reaction score 37 Aug 18, 2021 Thread starter #8 Mazindu Msambule said: Mikoani mnatuma? Click to expand... Ndio kwa mikoa ya karb na Arusha kama moshi, tanga, manyara
Mazindu Msambule said: Mikoani mnatuma? Click to expand... Ndio kwa mikoa ya karb na Arusha kama moshi, tanga, manyara
Kanye2016 JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 3,019 Reaction score 3,201 Aug 19, 2021 #9 Hivi wale Wachina wanaoset ving'amuzi ulipie mara moja tu kwa mwaka wameenda wapi? kama kuna mtu ana connection nao naomba ani PM.
Hivi wale Wachina wanaoset ving'amuzi ulipie mara moja tu kwa mwaka wameenda wapi? kama kuna mtu ana connection nao naomba ani PM.