CHRISSIE255
JF-Expert Member
- Jan 21, 2020
- 221
- 180
MwanzaHawa dagaa wa wapi? Bukoba au MZA?
Hawa dagaa wa wapi? Bukoba au MZA?
Duh, Mnakaanga dagaa wakiwa na vichwa ?Heri ya mwaka mpya 2021.
LAKE FOOD PRODUCT SUPPLIER
Wauzaji na wasafirishaj wa samaki na dagaa waliokaangwa mikoani.
Jipatie dagaa safi wa mwanza waliokaangwa
Vizur na watamu Hawana michanga.
Kula dagaa kwa Bei
nafuu kabisa kwa matumiz ya nyumbani na
biashara package zipo za 200,500,1000,2000, na 5000
Sado 20000
Ndoo ndogo 35000
Ndoo kubwa 55000
Tunapatikana wilaya ya karatu iliyoko mkoa wa Arusha. kwa mawasiliano
zaidi 0717200471 na 0625406328 nyote
mnakaribishwa sana.karibu weka dukan,supermarket au sokon.
Tunauza jumla na rejareja. jumla pia tunauza kuanzia packt 50.
Mikoani tunasafirisha kwa gharama za mteja.
View attachment 1681779
Wanakaangwa wakiwa wabichi nduguDuh, Mnakaanga dagaa wakiwa na vichwa ?
Sawa ziwa ni moja ila processing ya wale wa Bukoba ina involve Quality Control. Hawanaga mamichanga kama hao wa MwanzaTofauti yao nini, nikajua ziwa ni lile lile!
Je, hao wa buku 2 wana ujazo gani in grammes?Heri ya mwaka mpya 2021.
LAKE FOOD PRODUCT SUPPLIER
Wauzaji na wasafirishaj wa samaki na dagaa waliokaangwa mikoani.
Jipatie dagaa safi wa mwanza waliokaangwa
Vizur na watamu Hawana michanga.
Kula dagaa kwa Bei
nafuu kabisa kwa matumiz ya nyumbani na
biashara package zipo za 200,500,1000,2000, na 5000
Sado 20000
Ndoo ndogo 35000
Ndoo kubwa 55000
Tunapatikana wilaya ya karatu iliyoko mkoa wa Arusha. kwa mawasiliano
zaidi 0717200471 na 0625406328 nyote
mnakaribishwa sana.karibu weka dukan,supermarket au sokon.
Tunauza jumla na rejareja. jumla pia tunauza kuanzia packt 50.
Mikoani tunasafirisha kwa gharama za mteja.
View attachment 1681779
Nafikiri hilo linategemeana na wavuvi wenyewe. Na siyo mahali dagaa wanakotoka.Sawa ziwa ni moja ila processing ya wale wa Bukoba ina involve Quality Control. Hawanaga mamichanga kama hao wa Mwanza
Wanakaangwa wakiwa wabichiDuh, Mnakaanga dagaa wakiwa na vichwa ?
Hapana inategemeana na wavuvi wenyew umakin wao na wakaangaji hao haoSawa ziwa ni moja ila processing ya wale wa Bukoba ina involve Quality Control. Hawanaga mamichanga kama hao wa Mwanza
Nafikiri hilo linategemeana na wavuvi wenyewe. Na siyo mahali dagaa wanakotoka.
Mjini sokonKaratu mko kwa sehemu gani??
Namba zenyewe ulizoweka hapo mbona hazipatikani? Me nlipita nkuungishe ila napiga namb zote kumbe namb za viwanja.Mjini sokon
Dagaa wa Mwanza,muuzaji yupo Arusha.Nimeelewa kwa nn Tanzanite ilikua inapatikana Tanzania lkn wauzaji walikua wasouth Africa na Wakenya.Heri ya mwaka mpya 2021.
LAKE FOOD PRODUCT SUPPLIER
Wauzaji na wasafirishaj wa samaki na dagaa waliokaangwa mikoani.
Jipatie dagaa safi wa mwanza waliokaangwa
Vizur na watamu Hawana michanga.
Kula dagaa kwa Bei
nafuu kabisa kwa matumiz ya nyumbani na
biashara package zipo za 200,500,1000,2000, na 5000
Sado 20000
Ndoo ndogo 35000
Ndoo kubwa 55000
Tunapatikana wilaya ya karatu iliyoko mkoa wa Arusha. kwa mawasiliano
zaidi 0717200471 na 0625406328 nyote
mnakaribishwa sana.karibu weka dukan,supermarket au sokon.
Tunauza jumla na rejareja. jumla pia tunauza kuanzia packt 50.
Mikoani tunasafirisha kwa gharama za mteja.
View attachment 1681779
Uelewa wako n mdogo soma TenaDagaa wa Mwanza,muuzaji yupo Arusha.Nimeelewa kwa nn Tanzanite ilikua inapatikana Tanzania lkn wauzaji walikua wasouth Africa na Wakenya.