KAMA UNATAMANI KUANZISHA BAKERY AU KUPATA USHAURI KARIBU SANA
TUNAPATIKANA KARIAKOO MTAA WA MASASI NA MSIMBAZI 0764542515
HIVI NI BAADHI YA VIFAA MUHIMU KUWA NAVYO
MIXER
OVEN
SLICER
PROOFER
DISPLAY
RACK
TUNAANZA NA OVEN GHARAMA NA SIFA ZAKE
Oven za mikate katika ukubwa tofauti zipo aina mbili gas na umeme pia bei hutofautiana kutokana na chanzo cha nishati
Orodha yake hapa
Tray moja na layer moja umeme million moja na laki tatu na gas 1.8m
Tray mbili na layer moja umeme million moja na laki nne (1.4m) na ya gas million mbili (2m)
Layer mbili na tray 4 umeme million mbili na laki nane(2.8m) na gas million tatu na laki mbili(3.2m)
Layer tatu na tray 6 umeme million nne na laki moja (4.1m) na ya gesi million nne na laki tatu (4.3m)
Layer nne na tray 9 hii ni pana sana umeme million sita na laki nane (6.8m) na gas million saba na laki tano(7.5m)
MIXER
Cake mixer 2.5kg laki sita na nusu tu
Cake mixer 8kg million moja na laki nne
Cake mixer 12.5kg million mbili
Cake mixer 25kg million nne na laki nane
SPIRAL MIXER
12.5KG million mbili
25kg million nne na laki tatu
50kg million nane na laki tisa
Proofer mlango mmoja million moja milango miwili million mbili tu
Rack laki saba tu
Mashine ya kukata mikate million moja na laki nane tu
Display zipo kuanzia million mbili na kubwa million tatu na laki nane