Tunauza alluminium panel kwa bei nafuu

Tunauza alluminium panel kwa bei nafuu

jacquejaytee

Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
48
Reaction score
30
ALcobond (alluminium panel)ni aina ya board zinazotumika kwenye urembo wa majengo,kutengeneza mabango ya biashara, na matangazo tofauti.zenye upana wa mita 4 na urefu mita 8.Bei ni Tsh 120,000.Zipo za rangi tofauti kulingana na chaguo la mteja.Alcobond zetu ni nzuri,imara na bei ni nafuu sana ukilinganisha na ubora wake.Tunaagiza kutoka Uturuki na Iran ili kukidhi hitaji la watumiaji.Tunapatikana Gerezani Dar es Salaam.Mikoani tunatuma pia.Kwa mawasiliano zaidi piga/ whatsapp 0715002270
 
Weka picha, siye wa runzewe, hatuelewi ndio vitu gani hivyo.
 
ALcobond (alluminium panel)ni aina ya board zinazotumika kwenye urembo wa majengo,kutengeneza mabango ya biashara, na matangazo tofauti.zenye upana wa mita 4 na urefu mita 8.Bei ni Tsh 120,000.Zipo za rangi tofauti kulingana na chaguo la mteja.Alcobond zetu ni nzuri,imara na bei ni nafuu sana ukilinganisha na ubora wake.Tunaagiza kutoka Uturuki na Iran ili kukidhi hitaji la watumiaji.Tunapatikana Gerezani Dar es Salaam.Mikoani tunatuma pia.Kwa mawasiliano zaidi piga/ whatsapp 0715002270
Mkuu umekosea vipimo ni futi 4 kwa futi 8. pia ebu tuambie ni milimita ngapi upana wake?
maana kuna 2mm.3mm,4mmm na kuendelea.

Jiona lake kimtaa mtaa tunaita Plastic Board.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom