Tunausubiri kwa hamu

Duuuh hapo kama kuna watoto wa jirani wanakatwa jicho haooo...
 

Attachments

  • 1414751824838.jpg
    12.6 KB · Views: 189
Usisahau baada ya kula....kazi kama kawaida ili kulijenga taifa..kwani mlo huu ni wa mchana...

Kujenga tujenge sisi, kukaa wakae wao... Taifa gani la kibaguzi hili!???
 
Fursa ya kukaa nawewe unayo ..soma katiba utaona una haki ya kuchagua na kuchaguliwa...gombea uza sera utachaguliwa utakaa tu
Kujenga tujenge sisi, kukaa wakae wao... Taifa gani la kibaguzi hili!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…