ok ya mayai 120 ni sh ngap?HABARI MTANZANIA.
JE UNAHITAJI KUJIAJIRI KWA KUPITIA UFUGAJI? SASA UNAWEZA KUPATA MASHINE ZA UANGUAJI KWA GHARAMA NAFUU KUANZIA MAYAI 120-5000 MASHINE ZETU NI FULL AUTOMATIC NA TUNAZIUNDIA HAPA TANZANIA. PIA TUNAUZA SPARE ZA INCUBATOR NA KUFANYA SERVICE KWA MASHINE ZA UANGUAJI. TUNAPATIKANA DAR TABATA. 0764870930
mkuu sema hujataka tu,hakuna kinacho shindikanaHuwezi fundishwa kwa msg iyo huwezi elewa. Maana kila kitu ni umeme na vipimo
Aya nikikuambia unga waya wa comon wa motor na waya wa fani wa kutolea hewa chafu na waya wa unyevu pamoja uziweke kwenye common utaelewa. Bora mapishi utaelekezwa kwa msg ila ufundi sizanimkuu sema hujataka tu,hakuna kinacho shindikana
hahaaaaaaaa,haya bana, nipe bei ya heater, fan ,senser ya joto na humidity ,motor na system ya kugeuza tray, pia vinapatikana wapiAya nikikuambia unga waya wa comon wa motor na waya wa fani wa kutolea hewa chafu na waya wa unyevu pamoja uziweke kwenye common utaelewa. Bora mapishi utaelekezwa kwa msg ila ufundi sizani
Mkuu kuna haya maneno yanayosemekana kuwa hizo mashine ufanyaji kazi sio wa uhakika yaani katika kutotolesha haziangui mayai yote mfano zinaweza kuangua 60 katika 100. Unaelezeaje hii? Je, ni aina ya mashine au ni nn? Na je mna guarantee kwenye mashine zenu?
Hii tumeunda leo
shukran mkuu, haya ndo maneno sasa, vp vinapatikana wapi vifaa hivi mkuuAir heater watt 200 sh. Elfu 35
Watt 400 sh. Elfu 45
Water heater watt 250 sh. 30000
Sensor ya joto elfu 15
Na unyevu elfu 15
Motor ya kugeuzia elfu 60
Mkuu hivi vifaa vinapatikana wapi ? Nina mashine yangu imekufa hiyo sehemu ya controllerAir heater watt 200 sh. Elfu 35
Watt 400 sh. Elfu 45
Water heater watt 250 sh. 30000
Sensor ya joto elfu 15
Na unyevu elfu 15
Motor ya kugeuzia elfu 60