Tunatoa unlock iphone toka USA na Finland (network lock)

Tunatoa unlock iphone toka USA na Finland (network lock)

wanatamani

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
415
Reaction score
145
Tunatoa lock network lock iphone toka USA na Finland kwa bei nafuu tu Tsh.50000, sio icloud lock nieleweke.

Mawasiliano: 0715387545 sms utapigiwa
 
Nimekuja mbiombio nilijua ni iCloud mkuu maana kuna kimeochangu kipo ndani .Icloud norma,sijui huu uchawi nani atatusaidia
 
Ikitokea mtu akaweza kutengua i cloud atapiga pesa ndefu sana kwa muda mfupi,maana hivyo vimeo vipo vingi sana mikononi.
 
Na asilimia 95% ya iphone zenye icloud lock ni za uwizi.
 
Back
Top Bottom