Kahtan Ahmed
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 765
- 490
LET THEM BETCRA wanakuona
UNATAKA KUIBIA WATU SASAIPHONE MIE NAZIMUDU .
Nokia Lumia ipo imelock, inanipa dakika mil 1 ndo niweke tena pattern!! mekata tamaaa natamani niitupe je hiyo unaweza ku unlock??HABARI WADAU TUPO MAGOMENI TUNATOA LOCK YOYOTE YA SIMU IWE GOOGLE, PATTERN AU PIN BILA KUFUTA MAFAILI , SIMU KUTOKA NJE AMBAZO ZIMELOKIWA NA ZOTE ZILIZOFUNGWA NA TCRA KARIBUNI BEI INATEGEMEA NA AINA YA LOCK NA SIMU YENYEWE 0712212220
reset itNokia Lumia ipo imelock, inanipa dakika mil 1 ndo niweke tena pattern!! mekata tamaaa natamani niitupe je hiyo unaweza ku unlock??
njoo nayo itapoaNokia Lumia ipo imelock, inanipa dakika mil 1 ndo niweke tena pattern!! mekata tamaaa natamani niitupe je hiyo unaweza ku unlock??
zilizofungwa mana yake zimebadilishwa imei ambayo sio ya simu iliokuja nayo sasa si kosa kurudishia imei iliokuja na simu bali kosa ni kubadilisha imei ya simu ambayo sio yakeUnataka kwenda kunyea kiroba mzee unazitaja hadi walivofunga wao
kweli sio shida kwako ila wapo ambao wana shidaUngeweza iPhone ningekuona we Fundi lkn hizi simu nyingine ni hata cyo shida
pengine hataki kufuta mafaili yake ndio mana hataki kuresetreset it
kweli sio shida kwako ila wapo ambao wana shida