Home tutor Dar
Senior Member
- Feb 23, 2025
- 114
- 139
Elite Home Tuition Services – Dar es Salaam
Elimu bora nyumbani kwako
Unatafuta maendeleo ya kweli kwa mtoto wako bila usumbufu wa msongamano wa madarasa? Elite Home Tuition tunakuletea walimu bora hadi nyumbani kwa viwango vyote na mitaala yote.
Mitaala yote inafundishwa:
– Tanzania (NECTA), Cambridge, IB, Montessori
– Kuanzia KG 1 hadi Advance Level (Form 6)
Huduma zetu maalum:
Tunawafikia kote Dar es Salaam – nyumbani au ofisini kwako.
Kwa nini uchague sisi:
Tunapatikana Dar es Salaam, huduma popote ulipo.

- Home Schooling kwa watoto wa nyumbani
- Remedial Classes kwa wanaohitaji msaada zaidi
- Pre-Form One & Pre-Nursery Preparation
- Kozi za Kiingereza kwa watoto na watu wazima
- Lugha za kigeni: Kifaransa, Kichina, Kijerumani
- Muziki: Piano, Kinanda, Gitaa
Tunawafikia kote Dar es Salaam – nyumbani au ofisini kwako.
Kwa nini uchague sisi:
- Ufuatiliaji wa maendeleo ya mwanafunzi kila wiki
- Mitaala yote kwa mfumo unaoeleweka
- Elimu na burudani kwa uwiano unaofaa
Tunapatikana Dar es Salaam, huduma popote ulipo.